FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Bro nimeona game yako Jana, you scored many goals lakini ile lack of concentration in first 20 minutes Isco could do a lot of demage there alafu ndio mngechanyikiwa.
Haya sasa Isco Jana hakuwa uwanjani dhidi ya Betis??? "Lack of concentration" inaweza ikumba timu yoyote, lakini wewe ukawa unahisi mechi ambayo tumeshinda eti tungekutana na Isco angefanya maangamizi. Sasa jiulize mbona huyo Isco wako dhidi ya Betis hajafanya huo uangamizaji uliokuwa unauwazia kwetu?. Mpira ni dk 90 zikiisha mmeshinda unashukuru MUNGU tu. Siyo kujigamba gamba kila mahali tu, wakati mwingine sifia tu kama mwenzio kafanya poa.
 
Achana na PAGAN hajui alitendalo. Unapoteza muda wako bure
 
cf9b38d07d91a2b2f07953e0c9e0e4b9.jpg

king leo Messi
 
Kwanini sisi mashabiki wa Barca tuna washwa sana kufatilia maendeleo ya Waume zetu Galacticos zaidi kuliko maendeleo ya timu yetu....
Muda wotw masikio kama antenna kusikia Jirani zetu wamefanya nini badala ya kukomaa na timu yetu kuona namna gani nasie tuvunje record ya Double UEFA champions kama wao...

Mnajua wakuu nimegundua kuwa sisi mashabiki wa Barca tuna character kama za Nguruwe.
Ni ww na mamaako pekee
KING hafananishwi na players waliopita na haitatokea player wa kufanananae. May be baada ya 1000 years ahead.
 
Leo tunapiga mechi na Girona saa 11 na robo jioni. Saa nane mchana Sevilla anakipiga na ATM. Sorry wakuu. Mechi yetu ni saa nne kasorobo usiku. Saa 11 na robo. Ni wale jamaa waliopigwa na Betis juzi.
 
Naona majirani wetu kule hali si hali. Bado wako tia maji tia maji.

Tunawaombea waendelee ivo ivo. wakipata one more loss and a draw, it's over!

Watatusindikiza mpaka mwisho wa msimu!
 
Naona majirani wetu kule hali si hali. Bado wako tia maji tia maji.

Tunawaombea waendelee ivo ivo. wakipata one more loss and a draw, it's over!

Watatusindikiza mpaka mwisho wa msimu!
Kweli kabisa hawa ni [emoji239][emoji239] [emoji239] wa siku kuu kubwa ya mwaka tunawatunza tutawachinja siku moja kabla ya X-mass kwenye El classico pale machinjioni kwetu,mpaka wanakuja kutoka club world cup wanakuja tu kutusindikiza maana mpaka sasa uhakika wa kuwaacha point kumi upo kabla ya mzunguko wa kwanza kuisha.
 
Back
Top Bottom