FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

View attachment 653671
Iniesta Maestro ,fundi,ball controller ,mpiga pasi ,bingwa wa World cup na Euro mfunga mabao muhimu,mchezaji ambaye baada ya Ronaldinho kupata standing ovation Bernabeu yeye anafuata ,the most renowned player in Spain anaheshimika na kila mtu hadi mitaa ya Castilla,mchezaji ambaye ni icon ya Spain na Barca,mchezaji ambaye tangu ulimwengu wa mikataba ya mpira umeanza yeye amevunja record kwa kupewa mkataba wa kudumu..niendelee kutaja sifa?mchezaji ambaye amekua mchezaji bora kwenye fainali za UEFA,World cup,Euro a.k.a Architect


AMEPEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA TEAM YA TAIFA SPAIN Hallelujah
[emoji460] [emoji460] [emoji460] [emoji460] [emoji460]
 
tapatalk_1513494146815.jpeg

Hivi ni mm 2 nnayeona au?

Magazeti mengi ya Spain yamebase Madrid hata mechi nyingi za classico
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Screenshot_2017-12-18-18-58-47.png

Rav Rafinha Alcantara ameshapata medical clearance huyu jamaa ni hero nakumbuka hii ni injury ya tatu ndani ya season mbili nakumbuka ile ya kwanza mguu kwenye ankle joint ulivunjika kabisa....!!
 
Kauli ya Mchezaji Bora wa Dunia Muda Wote Baada ya kupokea tuzo 2 Leo kwa mpigo....Messi10, hapo kwenye "red" kanifurahisha sana. Mungu Amubariki Azidi Kung'ara kila iitwapo Leo Hadi Atakapostaafu

"I already have several... Before the trophy was different, bigger and heavier. I'm happy to receive it again and I want to thank Marca for this recognition."

"Thanks again, I want to share this and thank all my teammates, it's a prize for the team as I said with the Golden Shoe."

"It's not my main objective, ours is the titles, but if then these individual awards arrive, they are welcome."
fafa540c9ad499ac2f4e5767e3ac0a4d.jpg
 
Kama unakumbuka shida ya left &right flank tunayoipata bila injury ya huyu jamaa angekua ana offer atleast 60% ya vitu vya Neymar cos yeye na Arda ndio walikua substitute wake
Nakumbuka msimu wa mwaka jana aliuanza vizuri akawa ametupia kama goli 5 hivi
Tumwombee Asipate majeruhi tena.
 
Screenshot_2017-12-18-21-16-04.png

"He is the best player of all time.
They won 4-0 yesterday But I wonder why didn't he scored during that game.I think he will do that next game.In my view he is the best among all others". Alex Morgan the women football superstar about Leo Messi.

Demu mkali hivi unacheza soka!!!!!
Asante[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
BAD NEWZ! Wakuu mmesikia kwamba tunaweza kupigwa adhabu Kali sana na FIFA kisa Griezmman. Inasemekana timu yetu imefanya maongezi na familia ya Griezmman moja kwa moja kabla ya kuongea na klabu yake kwanza.
a52e7de963f3eac92a439a1cf87be79c.jpg
 
Tetesi
BARCA YAKARIBIA KUMSAJILI KINDA WA ZAMANI WA CITY


Barcelona wanakaribia kumsajili kinda nyota wa zamani wa Manchester City Jose Angel Pozo, kwa mujibu wa Onda Cero .
 
Tetesi
Atletico Madrid wako tayari kumuuza mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, 26, kwenda Manchester United baada ya kuiripoti Barcelona kwa Fifa kuhusu madai ya klabu hiyo ya kutaka saini ya mchezaji huyo kinyume na sheria. (Daily Mirror)
 
Tetesi

Beki wa Barcelona Javier Mascherano, 33, anakaribia kujiunga na klabu ya China ya Hebei Fortune. (Sport)
 
Tetesi

Klabu ya China ya Chongqing Dangdai Lifan haina haja ya kumsajili kiungo wa kati wa Barcelona Andreas Iniesta kwa kuwa wanaamini kwamba sio mzuri sana kucheza katika ligi ya Uchina ya Super League (Marca via the Chongqing Morning Post)
 
Back
Top Bottom