punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Hiyo ndo Barça..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mwaka huu mtafukuza upepo mpaka mtachoka,we are real madrid the pace setters!
chuki binafsi tu,Biskuti mpira anajua zaidi ya hata kina lampard,gerrard,ramirez,carrick nk anakaba kiakili hapotezi mpira wa2 hawaangalii hilo wao wanataka upige chenga,na anajua chenga ila anacheza nafasi yake anaitumia vizuri hasa tackling,angalia mechi ya ac milan vs barca vizuri uone aliwafanya nini robinho na seedolf na nguvu zao walishindwa kumpokonya mpira au mechi ya uefa final wembley last year vs man utd alipokamata dimba au world cup final 2010 kawafunika kina sneidjer,de jong na mark van bommelIs anyone else bored with how barca play? 4 seasons of the same slow short passing. A few weaving runs and then crowding around the ref when busquets dives for the 100th time.
source
Ac milan hatoki,japo mpira unadunda lakini sio kwenye matope.
I'm for BARCELONA...japo kazi kubwa leo ipo!! tupo mamoja kuangalia mechi hii
Mie nipo upande wa Barcelona pia leo, ku-enjoy mpira wao. Pia nategemea mpira utakua mkali sana kwani magoli ndio yanaitajika leo.
Vipi unaendelea salama? mie nipo pilika nyingi siku hizi mpaka JF nafanya kuchungulia tu.