FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Don, unaizungumziaje hii habari ya Messi kuomba kuhama Barcelona. Nini maoni yako kama shabiki wa mpira wa miguu?

Aging legends huwa ni changamoto sana kwenye timu, hasa wale ambao wamechezea timu 1 tu, team icons.

Kunatakiwa kuwepo na uongozi madhubuti unaoweza kuhakikisha aging player hawi mzigo, kuwe na makubaliano kati ya timu na mchezaji, akubali kwamba muda umemtupa hivyo awe anacheza kutegemea na mechi, lakini asiwe mchezaji muhimu.

Tatizo la Messi na Barca ni kubwa, Messi bado hakubali kwamba muda wake si kama ule wa kipindi akiwa kijana. Ameshindwa kulielewa hili, na analazimisha timu iendelee kumtumia kama muhimili. Huku akiwa mchezaji anayelipwa zaidi kwenye timu, akiwa na sauti ya nani aje nani asije.

Barca hawana uongozi wenye sauti ya kuweza kudili na hili swala la Messi, atawajambisha sana.

Kama wakiamua, huu ni muda wa kumwacha aondoke, ili waanze maisha upya. Binafsi naona hii ni nafasi nzuri sana kwa Barca.

Messi kawaingiza gharama sana, imagine wachezaji wangapi wamesajiliwa kwa hela nyingi na bado hawakufit mahitaji ya Messi, wakauzwa au kuwekwa benchi.

Wakati wa Ferguson, tuliona jinsi alivyokuwa anaishi na wakongwe kina Giggs, Scholes, Ferdinand nk, ilikuwa majukumu yanapunguzwa taratibu na kila mtu anaifurahia nafasi.

Wewe ni mshabiki wa Basketball, kumbuka swala la Kobe Bryant lilivyowapoteza Lakers kwa kipindi kirefu, mpaka yeye mwenyewe alipoamua kuacha.

Busara inahitajika, Messi anaonekana ni selfish. Urafiki wake na Suarez ndio ulimwondoa Neymar, ambaye tukizungumzia succession, Neymar was the right person.

Griezman amekuja, lakini ilibidi abadilishiwe namba ili rafiki yake Suarez aendelee kucheza.
 
Nimekuelewa sana Don, mimi nafikiri huu ulikuwa muda muafaka wa Barca kuanza maisha mapya, kama kweli Messi ameomba kuondoka wakubali kumuacha aende zake. Lakini mimi binafsi siamini kama kweli Messi ana nia ya kuondoka, mimi ninaamini jamaa anatingisha tu kibiriti ili apate "anachokitaka" ndani ya timu.
 
Wanatakiwa watumie hii nafasi, wamwambie kila la heri.

Kama anataka kubaki, wao waweke plans ambazo kama atabaki azifuate, kama hataki aondoke.

Recently, timu imekuwa na transfers na payroll ambazo hazilingani na kinachoingia, huu ni muda wa kufanya adjustments, waanze maisha mapya.

Uongozi unatakiwa kuwa na courage kufanya maamuzi magumu namna hii.
 
Duh!Messi fanya haraka uende bana
Screenshot_20200826-200139.jpg
 
Tunahitaji kuondoa damu ya zamani Barca.

Tuondoe Pique, Busquets, Alba, Vidal, Suarez n.k

Tunaweza tukakaza moyo hata Messi kumruhusu aende ili tusuke timu mpya kabisa.

Kikubwa ni kuwa na uvumilivu.

Barca yenye damu changa na katikati akawepo Arthur Coutinho na De Jong ni moto mwingine.

Kwa Suarez sikuungi mkono ,Suarez anaweza kubakizwa awe anatokea Sub

Suarez ni mmoja wa Top ten strikers duniani Kwa sasa kumuoffload sio jambo la akili ya kuwaza mbali
 
Shida ya kutaka kulazimisha kuabudiwa, Messi akiendelea kubaki na kutaka kua sehem ya maamuzi ya viongozi na manager basi Barca wataendelea kupigwa hata zaidi ya goli nane.
 
Kiaina tumefunguka roho wacha aende tu ila na sisi kikosi cha vijana kisukwe nilisikia man city wanataka kutupatia akina bernado silva,gracias,jesus watupe na pesa nyingi zaidi...wacha messi akajaribu maisha mengine apunguze stress...ila hakuna haja ya kushindana wala kugombana nae bado ni wetu yule kama guardiola tu
 
Habari wadau wa fcb?? Nauliza kama kuna link ya whatsapp group ya fc barca ??
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Shida ya kutaka kulazimisha kuabudiwa, Messi akiendelea kubaki na kutaka kua sehem ya maamuzi ya viongozi na manager basi Barca wataendelea kupigwa hata zaidi ya goli nane.
Yea..inabid aondoke ili kisukwe kikosi kipya
 
  • Thanks
Reactions: PNC
My opinion :Messi hataondoka Barcelona kilichofanyika kiwe funzo kwa board ya Barcelona

Ukweli ni kwamba Messi ndio anaijua Sana Barcelona kushinda hata sisi washabiki ,na yeye ameelekezwa mikuki mingi kwa kuilinda Barca ikifika point anasusia ujue Kuna jambo kubwa linakua limetokea

Bartomeo Kama Rais amemdanganya Sana MESSI kuhusu kuunda team yenye ushindani kiasi kwamba the God of football lazima ahisi kuwa kipaji chake kinapotezwa bure ,katika mazingira Kama hayo hamna mtu angependa kukaa
In short board ya Barcelona inaoinyesha incompetency na kutojitosheleza kwenye enzi za modern football angalia jinsi wanavyofanya usajili (recently wamemuuza mchezaji kwenye miaka 23 na kumnunua miaka 32)

Pamoja na kuondolewa kwenye UEFA champions league katika mazingira ambayo yanaonyesha ubovu wa team ,+goli 4 Roma,Goli 4 na liverpool ,Copa de ley na Valencia ,Board na rais wake wala hawakustuka team kama hii ukiwa mzalendo wa kweli lazima utangaze kuondoka ,haiwezekani team inatoka kwenye ramani ya team bora ukasimama kimya

All in all kilichotea sisi Kama mashabiki wa Barca (cules) wa damu ,sisi sio plastic fans ,we are hardcore loyal fans we stand with the team in beautiful and difficulty situation

Tuirudishe Barca yetu tuchukue Laliga na UEFA ikiwezekana tremble
 
Messi aondoke, he's our biggest blessing and our biggest curse all wrapped in one. Asimuache Bartomeu, atuondolee huyu mpuuzi kwanza!
 
Wiljadum nasikia anakuja Barca ,he is not Barca style player ,yaani Messi anapewa hard time [emoji26][emoji26]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nyie bana. Na hii kitu ndio inawagharimu, mmeacha kuangalia timu kama timu mnachoangalia ni Mess. Sajili nyingi mlizofanya miaka ya karibuni zinakwama kwasababu kipimo ni Mess
Mchezaji kipimo ni Mess
Kocha kipimo ni Mess
Viongozi kipimo ni Mess....

Kwahiyo mnategemea atacheza milele??
Highest level of hypocrisy.
 
Messi angemuuliza morison ulifanyaje kuondoka kwenye club inayokuhitaji?[emoji2][emoji2][emoji2]

Mbona rahisi tuu kwanza unasaini kule unakotaka kwenda[emoji2][emoji2][emoji2]

Mezani badae na mawakili wako[emoji2][emoji2][emoji1752][emoji1752]
 
Back
Top Bottom