NO04
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 1,754
- 1,241
Mess akistaafu nawe unastaafu ushabiki!?Kaa Kwa kutulia wewe Mimi nshahama Visca el Barca niko 'ici c'est Paris' saiz
Kwema lkn!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mess akistaafu nawe unastaafu ushabiki!?Kaa Kwa kutulia wewe Mimi nshahama Visca el Barca niko 'ici c'est Paris' saiz
Taratibu tu,tuna project yetu pale La masia soon mtaiona ikiwa [emoji91][emoji91].Jana mmedondosha point ila mpo kimya tu. Au ndio mmesusa team baada ya Messi kuondoka.
Hii timu kwa sasa ni kichefu chefu wengi tupo PSG kwa La pulga alipo tupo. Hii timu kwa sasa ni takataka mkuuJana mmedondosha point ila mpo kimya tu. Au ndio mmesusa team baada ya Messi kuondoka.
Subirini mziki wa bayern munichMemphis Depay with an assist in his first game, a goal in his second game, and another goal in his third game.
And each of those goal contributions have been of world class quality. View attachment 1915319
Watatupiga 3-0 mark my commentSubirini mziki wa bayern munich
We don't give a f...abt them.Subirini mziki wa bayern munich
Ndo mpira ulivyo, huwezi kushinda Kila mechiSubirini mziki wa bayern munich
Barcelona inahitaji watu wenye moyo wa kuipambania.Griezman hakustahili kuichezea BarcaHii timu imekuwaje wametoa wachezaji wengi kwa mkopo, naona mpaka Griezman wamempeleka Athl. Madrid
Baryen tunawapigaSubirini mziki wa bayern munich
Alikuwa mess ndani tumepigwa nne kwenye UEFA tumetolewa mara ngap na tumepigwa nane mechi moja uliona wapi afu tulikuwa na mchezaji bora kiwahi kutokea afadhari ameondoka anafilisi timu inashindwa kufanya usajiliTaratibu tu,tuna project yetu pale La masia soon mtaiona ikiwa [emoji91][emoji91].
Barcelona ni kubwa kuliko yeyote
Ndio wametupiga roma nne liver nne psg nne baryen wakazidisha nane afu mess aendelee kula mshahara na mimi niunge mkono uwepo wake hizo hela tunagawanaAlikuwa mess ndani tumepigwa nne kwenye UEFA tumetolewa mara ngap na tumepigwa nane mechi moja uliona wapi afu tulikuwa na mchezaji bora kiwahi kutokea afadhari ameondoka anafilisi timu inashindwa kufanya usajili
Kwani Messi ni beki au kipa?Ndio wametupiga roma nne liver nne psg nne baryen wakazidisha nane afu mess aendelee kula mshahara na mimi niunge mkono uwepo wake hizo hela tunagawana