FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Memphis Depay with an assist in his first game, a goal in his second game, and another goal in his third game.

And each of those goal contributions have been of world class quality.
20210829_204832.jpg
 
Project iliyopo Barcelona kwa sasa, ni nzuri mno. Kuna talents za kutosha pale. Shida ni kocha tu, hajui namna ya kuwatumia. Kila nikififikiria anavyomtreat Riqui Puig, nabaki nashangaa. The kid is super talented, ila jamaa anaishia kuchezesha akina Gavi na Demir ambao hawana uzoefu kabisa.

Hata substitutions zake ni za mashaka sana. Tukipata kocha mwenye akili, we can reign the football world once again in less than three years to come!
 
Barca wakiamua sawasawa wanaweza kurudi taratibu Kama kipind kile naona Wana makinda mazuri mazuri...
 
Taratibu tu,tuna project yetu pale La masia soon mtaiona ikiwa [emoji91][emoji91].
Barcelona ni kubwa kuliko yeyote
Alikuwa mess ndani tumepigwa nne kwenye UEFA tumetolewa mara ngap na tumepigwa nane mechi moja uliona wapi afu tulikuwa na mchezaji bora kiwahi kutokea afadhari ameondoka anafilisi timu inashindwa kufanya usajili
 
Ndio wametupiga roma nne liver nne psg nne baryen wakazidisha nane afu mess aendelee kula mshahara na mimi niunge mkono uwepo wake hizo hela tunagawana
 
Back
Top Bottom