FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

We are going to rise again
Naamini pace , acceleration yake na dribbling itaongeza kitu apo plus Memphis akirud na Fati akipona huku Ferran akizidi kua bora #Culers Forca Barca
fcbarcelona-20220129-0001.jpg
 
All in all Xavi atakua ana option ya attackers weng jpo kwa apo ni Memphis pekee ndo angalau yupo top na aubameyang labda ainuke tena [emoji419]
 
Atletico de Madrid



Leo ananyeshewa mvua ya goals
hasira zote za msimu kuanza vibaya
 
Barcelona DNA leo kwa mara nyingine baada ya siku nyingi ndio naiona hapa

Viva Xavi Hernandez viva
 
Inabidi tuendeleze hii winning mentality, high morale of the game,


Alafu kama vipi hiki ki Europa tukibebe tu

Naamini katika msemo
simba akikosa nyama hata nyasi anakula
 
Inabidi tuendeleze hii winning mentality, high morale of the game,


Alafu kama vipi hiki ki Europa tukibebe tu

Naamini katika msemo
simba akikosa nyama hata nyasi anakula
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mshajifia nyie.
 
Back
Top Bottom