Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Benzema anawaza Ballon dor Lewandowski anawaza pichichi kupanga ni kuchagua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo alivyokuambia?Benzema anawaza Ballon dor Lewandowski anawaza pichichi kupanga ni kuchagua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndivyo alivyokuambia?
Subiri muda utaongeaSevilla tuna jambo letu
Ana balaa kubwa sana huyu mtoto.Pablo Gavira, mtoto ana balaa sana.
Sevilla tuna jambo letu
Jana Dembele angekuwa makini zaidi Lewandowski angepiga goli hata 3
Aaah alijua barca ni cadiz mkuu.Alijua Barcelona ni Malaga?
Jana Dembele angekuwa makini zaidi Lewandowski angepiga goli hata 3
Yani saivi ni Press, Finya, Kung'uta. Taratibu tutaelewana tu nawataka those haters tuje tukutane nao huku wakiendelea kukariri " Barca without Messi" halafu niwaoneshe pressing inavyofanywa, Alifanyiwa Pressing Man City japo ilikua Charity game lakini Pep alikuna kipara pale kati. Na hapo hiyo mechi watu kama Pedri, Dembele, Lewy na Araujo hawakucheza. Game ambayo nilikua ninahofu nayo ni hii ya juzi na Sevilla maana walitukimbiza kwa presha sana ile earlier minutes, lakini nilivyoona Xavi the way alivyowaambia wachezaji wake watulie wawe calm with the ball and make them chase the ball in 5-6 minutes without disposses it. Aah kmmke mbona walikubali wenyewe wakatepweta.[emoji2][emoji2]Aaah alijua barca ni cadiz mkuu.
Watu wanaishi in the past wakati this is future.
Watu bado wanadhani barca kocha ni Koeman.
Barca itawashangaza wengi ingawa watu wasioifatlia wanaichukulia poa.
Next match ni UEFA na viktoria plzen.
Hawa tunawakalisha vizuri tukiwangoja Bayern 13.
Lazima afe mtu.
Mimi nafkiri Tough Opponent ambae tunae ni The Bavarians pekee hao wengine uhakika upo.Natumai mechi yetu ya UEFA dhidi ya Victoria Pizen itakua mechi bora sana . Option za Tactician Xavi kuelekea mechi hii ndio zitaakisi namna gani tunakabiliana na timu za kwenye kundi letu hili linalotazamwa kama kundi la kifo.
Serious business is about to start! As a barca fan sina hope ya kuchukua uefa but we are favourites kulingana na kikosi chetu.Tunatakiwa kuonyesha competence level ya juu sana kwenye hii michuano ili kurudi kwenye ubora wetu,na kipimo ni kwenye hili kundi letu la uefa tuna bayern,inter,Plizen,This are toughest teams we have to go through,hapa Plizen anaokena weak but Uefa hakuna team ndogo ,anything can happens.Xavi apange kikosi cha kueleweka,leo points tatu ni muhimu sana hasa kulingana na opponents tulionao. Mambo ya rotations kuanzisha wachezaji kama ferran torres yalitu cost europa tulivyocheza na frankfurt na galatasaray.Hopefully we shall win this match.Natumai mechi yetu ya UEFA dhidi ya Victoria Pizen itakua mechi bora sana . Option za Tactician Xavi kuelekea mechi hii ndio zitaakisi namna gani tunakabiliana na timu za kwenye kundi letu hili linalotazamwa kama kundi la kifo.