Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Zimebaki dakika tu, tunza akiba ya manenoHuna uwezo wa kumfunga Bayern kacheze uropa huko na arsenyeto huko atakuchakaza bora ukacheze conference league [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimebaki dakika tu, tunza akiba ya manenoHuna uwezo wa kumfunga Bayern kacheze uropa huko na arsenyeto huko atakuchakaza bora ukacheze conference league [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaona nyeto mnavyocheza ni aibu aisee Kwan mpo Allianz ArenaZimebaki dakika tu, tunza akiba ya maneno
Sio Baca DNA tena?Xavi timu imemshinda hii
[emoji115]Xavi uwezo mdogo
Hamna Cha DNA Wala nini mpira wa Sasa umebadilika mnoSio Baca DNA tena?
Kwa wasiojua maana ya lamri, hii ndio maana yake halisi.Tambua hili, inter ni ngumu kuliko bayern
Kwasababu kwa mfumo wa xavi ni ngumu kuziattack timu zinazodefend low block na kuweka mtu tano nyuma.
Ndomaana hata mallorca alistruggle.
Bayern ana uwezekano wa kupigwa camp nou
Nyie barcenyeto