FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Eti de jong aliikataa man u kwasababu hataki kucheza europa?....... Hehehehehe
 
Barcenyeto barcenyoko kirikuu fc nyie ni timu ndogo mkiongoza ligi hata Sekunde mniite mbwa nimekaa [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]pale waja laana nyie yatima fc
 
Tambua hili, inter ni ngumu kuliko bayern
Kwasababu kwa mfumo wa xavi ni ngumu kuziattack timu zinazodefend low block na kuweka mtu tano nyuma.
Ndomaana hata mallorca alistruggle.
Bayern ana uwezekano wa kupigwa camp nou
Kwa wasiojua maana ya lamri, hii ndio maana yake halisi.
 
Nyie barcenyeto
Screenshot_20221116-093412~2.png
 
Back
Top Bottom