FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huyu Pique na Puyol watatuchuuza leo...yangu macho tu na ni suala la muda tu
 
Man U wanaweza kupata goli dakika hii ya 16
kweli umeamua kuwa barca, lakini angalia usije ukawa umeingia huko kufuata utabiri wa kibs aka sheikh yahya, utaondoka na maumivu ya kichwa kama siku ile
 
Hahahaha,

Jamaa yangu hapa anatokwa machozi, naona uzalendo unamshinda kuangalia,,, kaamua akae pembeni mpaka asikie taarifa tofauti na Man U 0 - Barca 1
 
he! mnaona mambo ya messi hayo, anaangushwa lakini aombi faul, anaamka na kutafuta mpira uko wapi!!!
 
Back
Top Bottom