Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
angalia mzee kibs tusije kukubatiza kuwa sheikh yahya1 hilo, mvua hiyoooooo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
angalia mzee kibs tusije kukubatiza kuwa sheikh yahya1 hilo, mvua hiyoooooo!
Hehehe,
Nyakati kama hizi huwa sizipendi ikicheza Chelsea!
sa si ushangilie barca tu mkuu?Hehehe,
Nyakati kama hizi huwa sizipendi ikicheza Chelsea!
Hata Icadon a.k.a Mwenyekiti wa Man U hapa JF anafahamu kuwa leo nipo upande wa Barca mkuu MN, hawa walitucheka tulipokandamizwa na Barca, it's your turn man!sa si ushangilie barca tu mkuu?
Ronaldo kapaisha!
17th min,
Man U 0 - Barca 1
kweli umeamua kuwa barca, lakini angalia usije ukawa umeingia huko kufuata utabiri wa kibs aka sheikh yahya, utaondoka na maumivu ya kichwa kama siku ileMan U wanaweza kupata goli dakika hii ya 16
Leo mkuu utagundua matatizo mengi tuuutatizo la man ni midfield
ndio tatizo la kujiamini kupita kiasi... alipojua kuwa mabeki wengi wa barca wako nje walidhani kutakuwa mchochoro25th min,
Man U wanazungukwa tuuuu
Man U 0 - Barca 1