FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

kwa uchezaji huu sijui kama tutarudisha..tushapoteza rhythm na flare tulioanza nayo.
 
Mvua ilitakiwa kunyesha lakini haikuwa hivyo,so humidity inawezekana ikawa high,inawezekana ikawa ni factor maana wachezaji naona hawazunguki na kuhaha uwanjani kama kawaida kwenye mechi kama hii,hili linawapa sana nafasi Barca...Barca wanawanyanyasa sana leo na kama Man U wanataka ushindi basi kwa mtaji wataula wa chuya....Etto,Messi na Henry wana magoli 98 kwenye mashindano makubwa btn them,na hapa naona wamekoswa koswa Man U.


Ina maana Barca wao hawaathiriki na high humidity?!
 
half time barc 1 man u 0. afadhali safari hii refa ameonekana kuwa na uwezo
 
Ina maana Barca wao hawaathiriki na high humidity?!

Style yao ya mchezo si ya kasi na ndio maana nikasema advantage Barca....Man U ili washinde ni lazima wacheze kwa kasi kama kawaida yao.
 
Kipindi cha pili Barc watasaidiwa na mtelemko na upepo...! Hivyo magoli yatakuwa mengi tu...😀
 
Toe Giggs aingie Tevez tufurahie Game sisi wengine Ukizingatia Barcelona hawakutakiwa hapo walipo, we were robbed ....teh teh teh teh
 
Kweli Chelsea walitunyima mashabiki uhondo walivyocheza ile sijui nini.
2nd half Giggs nje, Anderson naye atatolewa ataingia Berba...
 
Yo Yo yuko kwenye Jukwaa la mambo ya Kikubwa ama anashughulika sehemu?
 
Hili Ferguson ovyo kabisa list gani hii.... anashindwa na mtoto wa miaka 38, huyu mzee ni too old ku manage Manu he has to go....
 
Kweli Chelsea walitunyima mashabiki uhondo walivyocheza ile sijui nini.
2nd half Giggs nje, Anderson naye atatolewa ataingia Berba...

Toka walipowasimamisha Chelsea bila Puyol wala Henry nilijuwa Mashetani wekundu shurti wawe makini,sijui nini kimewapata,ila tusubiri game bado....Ila ushauri wa kumtoa Anderson na kumwingiza Berba inabidi areshufle kwani Anderson yeye ni kiungo,labda Paul Scholes kama si reshufle. Sir Alex lazima ata mtap Tevez,nadhani Park labda naye anaweza kaa benchi licha ya good perfomance kuna sacrifices maana benchi liko safi.
 
Back
Top Bottom