Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi tena mkuu, unona double double!!!!!Hivi naona snow au?
Mvua ilitakiwa kunyesha lakini haikuwa hivyo,so humidity inawezekana ikawa high,inawezekana ikawa ni factor maana wachezaji naona hawazunguki na kuhaha uwanjani kama kawaida kwenye mechi kama hii,hili linawapa sana nafasi Barca...Barca wanawanyanyasa sana leo na kama Man U wanataka ushindi basi kwa mtaji wataula wa chuya....Etto,Messi na Henry wana magoli 98 kwenye mashindano makubwa btn them,na hapa naona wamekoswa koswa Man U.
Ina maana Barca wao hawaathiriki na high humidity?!
POle Kamanda...😀, half ya pili Barc wanaongeza bao kadhaaUbwege mtupu! ngoja niangalie cricket sasa...
Style yao ya mchezo si ya kasi na ndio maana nikasema advantage Barca....Man U ili washinde ni lazima wacheze kwa kasi kama kawaida yao.
Wanalazimishwa cheza hivyo....!
Ubwege mtupu! ngoja niangalie cricket sasa...
kwi kwi kwi kwi......Barcalona are cheating. There are magnets in their boots.
Yo Yo yuko kwenye Jukwaa la mambo ya Kikubwa ama anashughulika sehemu?
Kweli Chelsea walitunyima mashabiki uhondo walivyocheza ile sijui nini.
2nd half Giggs nje, Anderson naye atatolewa ataingia Berba...