CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Nisaidieni ndugu zangu nikashtaki wapi hawa jamaa wa Tigo, FCC au mahakamani? Wana tangazo lao la kina Mkude Simba kwamba wameongeza mzigo kiasi kwamba mtu anakaribishwa pilau ila anasema subiri kwanza namaliza kuangalia movie maana Tigo wameongeza mzigo wa dakika na mb's
Kwa nini tunafanyana wajinga sana nchi hii? Matangazo mengi yana mislead.. Huu ujinga hadi lini?
Kwa nini tunafanyana wajinga sana nchi hii? Matangazo mengi yana mislead.. Huu ujinga hadi lini?