Februari 1, 2024, ahadi ya SGR kuanza safari yayeyuka. CCM waongo sugu

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Leo ni tarehe Mosi Februari 2024. Tuliambiwa na Mhe. Waziri Mbarawa kuwa safari za treni mwendokasi kati ya Dar na Moro kuanza January 24.....



Je, tuendelee kuwaamini CCM kuwa wana nia njema na nchi hii?

Wapo bize kupitisha miswada inayokandamiza haki za raia. Na hawajali changamoto wanazopitia wananchi.

Shame
 
Narudia tena kusema kama ROSTAM AZIZI ATAACHWA HAI BASI HAKUNA JAMBO LOLOTE LITAKALO FANIKIWA SERIKALI...HATA HIYO SGR ITAUJUMIWA ILI WAPEWE WAO KUIMILIKI KWA KISINGIZIO CHA SERIKALI KUSHINDWA KUIENDESHA ...NA BWAWA LA UMEME NI HIVYO HIVYO ROSTAM AZIZI NDIYE ANAYE KWAMISHA NA GENGE LAKE HADI LENGO LAO LA WAO KUPEWA KULIMILIKI WAO HILO BWAWA KWA KISINGIZIO KILE KILE CHA SERIKALI KUSHINDWA KULIENDESHA
 
Pamoja na kuililia SGR kwa kilio kikuu na kugalagala, umejiandaaje kuitumia kiuchumi? Unalima mpunga kwamba unahitaji behewa kadhaa usafirishe? Unalima kilimo cha matunda kwamba unahitaji behewa kumi wewe peke yako ili ziende kwa haraka? Unalima pamba/tumbaku? Unasafirisha mifugo kwenda nje ya nchi.......
Au unataka uione tu, halafu urudi nyumbani kunywa uji na magimbi?!
 
Una maanisha kuwa Rostam Aziz ni mkubwa zaidi ya serikali ya chama chake na mwenyekiti wa chama cha CCM?
 
Huyo mpuuzi huyo aketuzunguka tayari amenunua coastal aviation subiri tuu....atapewa ATCL aendesge ni suala la muda tu....yuko Abdul eti ndio best friends khsss nalua mimi na TISS wetu na serikali yoote....tunachezewaa...
Wanasema .....hata ma soja wa ndaanii kabisa wakiondolewa watu 2 tu nchi iko salamaas.....tafuta ni nani hao ??
 
Ukisikia dalili za mtu kujifungua kabla ya wakati ndo kama hii.
 
CCM wanasema 2025 twendeni na mama.

Anatupeleka wapi huyu mama?

Ukiona mtu anasema twendeni naye 2025 ni mwizi, fisadi au anakula na kuishi BURE.
 
Ww jamaa nadhani kuna shimo mwilini mwako halipo sawa
 
upepo unakubaka kila mda nazani
 
taarifa rasmi itatolewa punde mskue na wasi, subra kidogo tu yahitajika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…