mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Wenye Mabasi na Malori wanasemaje kwani ??!Leo ni tarehe Mosi Februari 2024. Tuliambiwa na Mhe. Waziri Mbarawa kuwa safari za treni mwendokasi kati ya Dar na Moro kuanza January 24.....
View attachment 2890364
Je, tuendelee kuwaamini CCM kuwa wana nia njema na nchi hii?
Wapo bize kupitisha miswada inayokandamiza haki za raia. Na hawajali changamoto wanazopitia wananchi.
Shame
Labda biashara zao zitapooza !!