Februari 1, 2024, ahadi ya SGR kuanza safari yayeyuka. CCM waongo sugu

Wenye Mabasi na Malori wanasemaje kwani ??!
Labda biashara zao zitapooza !!
 
Acha mbwembwe rhetoric zisizo na mashiko tuambieni SGR inaanza kazi lini, SGR sio kwa ajili ya kusafirisha mchele na maparachichi tu, hata abiria tutapanda na hii ni sehemu ya matumizi ya kiuchumi.
 
Ni lini walishakuwa wakweli?[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki chama cha Mbogamboga....kutawala WaTanzania ndo wa kulaumiwa....Tukapimwe vichwa huenda Taifa lina shida kubwa sana.
 
Hiki chama cha Mbogamboga....kutawala WaTanzania ndo wa kulaumiwa....Tukapimwe vichwa huenda Taifa lina shida kubwa sana.
 
Rais alishaweka sawa kwamba Sgr Dar-Dom ianze kabla ya July,achana na hao wanaojisemesha semesha.
 
Bashite anayejinadi ndie anayeitafutia ccm kura anasemaje ktk hili?
 
Mwanasiasa wa ccm akikuambia "usiku mwema" toka nje kwanza ukajihakikishie kama ni usiku kweli ndio urudi ndani kuitikia salaam yake!
 
Vijana wetu Hadi Leo wamekua majobless Ajira zilisitishwa hili pesa ikatumike kwenye huo mradi.
Sasa ni faraja wakiona kilichowanyima ajira kikiingiza chochote kitu kwa taifa lao.
 
Chama cha Mahayawani
 
Una maanisha kuwa Rostam Aziz ni mkubwa zaidi ya serikali ya chama chake na mwenyekiti wa chama cha CCM?
Wewe unajua kwanini mkuu wa majeshi kamuonya rais majuzi ...Rostam azizi ni mmojawapo ya waundaji wa genge la Raia feki wanao miliki serikali na ccm wamepandikiza watu wao kuanzia bungeni hadi serikalini ....adui yao mkubwa ni uzalendo na wananchi ni kikundi hatari kipo juu ya sheria yoyote na juu ya haki pia .Rostam azizi siyo mfanya biasahara kama watu wanavyo dhani yeye anachota tu pesa ya serikali hatakavyo hizo biashara zinazo daiwa zake zote ni pesa ya serikali kwa asilimia 100 .....baada ya baadhi yetu wenye akili tulipo piga kelele kuhusu hicho kikundi kiovu cha Raia feki chenye ajenda chafu ndipo walipo fanya kikao cha siri na kuamua wasijitokeze sana adharani maana watu wameanza kuwasema vibaya kwa kugundua na kutambua mienendo yao hivyo ndiyo maana unaona sikuizi Rostam na genge lake wamekuwa awaonekani wala kusikika wakitoa kauli yoyote wala kuonekana wakiandamana na samia wala kusahini mikataba ya nchi kama miaka miwili ya mwanzo ya samia wao ndio walikuwa mbele .....SAMIA NAE NI MIONGONI MWA RAIA FEKI NA ONYO LA MKUU WA MAJESHI LILIKUWA DHAHILI KUMWONYA RAIS JUU YA MWENENDO WAO MUOVU DHIDI YA NCHI YETU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…