Februari 1, 2024, ahadi ya SGR kuanza safari yayeyuka. CCM waongo sugu

Ukisikia dalili za mtu kujifungua kabla ya wakati ndo kama hii.
Nilisema swala la raia feki miaka sasa hadi yule ajuza FaizaFoxy aliniponda majuzi siku kama 30 nyuma kabla mkuu wa majeshi naye kusema nilicho sema ... tena mkuu wa majeshi kaficha tu mambo ukweli ni mkubwa sana na rais kesha pokea waraka wa kijeshi kama onyo kutokana na mwenendo wa hao Raia feki ambao wamekamata dola na ccm
 
Hii awamu imejaa ubabaishaji mwingi .

Usiwaamini kwa lolote.
 
Ndo maana hawana uchungu na nchi.
 
Nimeweka quote ya Mbarawa na genge lake.

Nawe tuwekee hiyo kauli ya rais. Punguza kuhalalisha ujinga
 
Wewe nae unao hata ndugu kweli?
 
Mbona TBC huwa wanaonesha treni ya SGR inakata mbuga wao wameiona wapi!
 
Ni lini walishakuwa wakweli?[emoji23]View attachment 2890418

Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi tu mkuu!
1. Iliahidi maisha bora kwa kila Mtanzania, na sasa Watanzania wanaishi maisha bora mpaka majirani wanawaonea wivu

2. Iliahidi kuleta mapinduzi ya kilimo, mafanikio ambayo imeyafanya mataifa makubwa kuja kujifunza siri ya mafanikio yetu kwenye kilimo

3. Iliahidi Tanzania ya viwanda, na sasa viwanda vinapatikana mpaka vijijini. Au hujui kuwa cherehani nayo kiwanda?

4. Iliahidi kulinda Katiba, na imefanya hivyo kwa mafanikio makubwa sana hivyo kuhakikisha kuwa viongozi wote wanalifaidi jasho la utumishi wao

5. Iliahidi kushinda kila uchaguzi, na imekuwa ikifanya hivyo kwa uaminifu mkubwa hata kama Wapinzani wanawaonea wivu

6. Iliahidi pia kubana matumizi kwa kuondoa matumizi ya magari ya kifahari kwa viongozi wa umma, lakini baada ya kulitafakari kwa kina, imeonelea ilisitishe hilo kwa ajili ya kulinda heshima ya nchi.

Wewe unafikiri mataifa mengine yataichukuliaje Tanzania yakigundua kuwa Wakurugenzi wanatumia magari ya kawaida badala ya V8?

Nchi yetu ni kubwa. Ni lazima ijitofautishe na vinchi vidogo kama Denmark na Singapore.
 
Hahaha usiwaamini CCM wewe, hiyo SGR walisema itaanza piga mzigo kabla hata mzee hajakata kamba...
 
Umeniharibia siku! Kfupi nimekasrika...NIMEKUMBUKA UPIGAJI WOTE WA ROSTAM TANGU ENZI YA KIKWETE
 

Kuna kitu kinaitwa multiplier effect, sio lazima yeye kama yeye awe na mzigo fulani, lakini faida za jumla kwa nchi.
 
Chiembe,hivyo kama Hana asidai Kuna Kodi yake pale! Anataka asafiri haraka wkt wa likizo.
 
Kuna kitu kinaitwa multiplier effect, sio lazima yeye kama yeye awe na mzigo fulani, lakini faida za jumla kwa nchi.
Hongera👏👏👏

Wewe hukwenda kusomea ujinga shuleni🙏
 
Wanajua kuwa wanatawala WAJINGA na MAZEZETA.
 
Tafuta hela uwe unakwea mwewe mzee
 
Wananchi wanaonekana mabwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…