Februari 1, 2024, ahadi ya SGR kuanza safari yayeyuka. CCM waongo sugu

Mwenyekiti wao ni Dalali. Kuna shida gani kua waongo.wanajua kua watanganyika ni WA ndio mzee wee-wee
 
Mkuu,
Samahani!
Kipindi kile inasikika sana radio FISADI PAPA na baadae FISADI NYANGUMI ulikuwa na umri gani?

Haya unayoyasema hapa mimi niliyafahamu kipindi cha JK na na hii ilikuwa ni baada ya speech ya R Mengi kumhusu Rostam Aziz na tokea hapo Rostam akaanzisha program ya kuhakikisha kuwa Mengi anapotea na amefanikiwa kupitia binti wa Kitusi.
Kifo cha Mengi ni mipango ya huyu jamaa sasa yawezekana huyu binti ali ahidiwa kupata msaada wa kisheria kutoka kwa Rostam ili apate ushindi kipindi cha pili pia ili amiliki mali zote kama anavyodai mahakamani kila uchwao,ila kwa Rostam deal done.

Nirudi kwa CCM na Rostam wao,hawa hawawezi kuepukana hata siku moja.
Huyu ni mdhamini namba moja wa CCM na km ni kweli kifo cha MEKO kina mkono wa mtu basi mtu huyo ni huyu jamaa.

Ndiye aliye ratibu mipango yooote tangia kwenye uzinduzi wa TAIFA GAS,kurejea kwa Sumaye,EL na wengineo ndani ya CCM ilikuwa ni sehemu ya mikakati iliyopangwa kwa umakini mkubwa na huyu mwamba.

Najua kuwa kauli ya CDF ni maelekezo ya Kizimukazi sanaa Group kutokana na hofu ya kupata upinzani kwenye tukio muhimu lijalo mwakani.
Lengo la tamko hilo ni kutengeneza dhana masikioni mwa wanyonge ili ndiyo iwe siraha yao na lisiwe neno geni masikioni mwao wakati ukifika.

Wanyonge watakuwa wanaambizana wenyewe kwa wenyewe tu kwamba mpaka mkuu wa majeshi alishasema kuwa huyu ni mkimbizi,tusimpe na hivyo kutengeneza uoga wa kutoa maamzi sahihi miongoni mwao na kizimkazi sanaa group kuwa kundi bora.

Ukitaka ujue hiyo kauli ya cdf haina dhamira ndani yake subiri km utaona km watachukuliwa hatua hao wanaotajwa kuwa ni wageni na uchaguzi ukiisha tu hautasikia tena kauli km hizo kutoka kwa kiongozi yeyote wa serikali.

Ongeza na za kwako mkuu,ngoja nimalizie robo ya mwisho hapa dimbani maana sijakamilisha malengo ya kupiga goli katika hii robo.
 
Kuhusu kumzimisha Meko, ile hafla ya uzinduzi wa kiwanda cha ngozi Morogoro ndipo walipopata chance ya kufikia pacemaker bila kuwa detected na wakatemper nacho ndo safari ya Meko ukaanza kwenda anticlockwise countdown timer kufikia 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…