RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Tukumbuke kwamba eo ni tarehe 16/02/2024 lakini cha kushangaza watendaji wa shirika hilo leo tarehe 16/02/2024 wamekata umeme nachojiuliza je matamshi waliyotoa kupitia vyombo vya habari ilikuwa NI janjajanja ya kuwalaghai wananchi?
Mbona Zama hizi matamko ni mengi kuliko vitendo?
SGR Kuanza January 2024 imepita na safari za kutoka morogoro hadi dares salaam hamna. TANESCO kama kawaida mgao unaendelea walichowaambia wananchi ni kiini macho cha kitapeli.
Mama hawa watu unawalea lakini wanaliangamiza taifa punguza ziara pambana na hawa watu ambao NI wazembe kazini.