Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ni kuwa makali ya mgao wa umeme yameongezeka maradufu.Nchi inaingozwa na kauli za uwongo bila kuhusisha wataalamu moja kwa moja kila kitu ni siasa
View attachment 2905577
KabisaWanawake wanaweza ...
Kifo cha mende , sawaWanawake wanaweza ...
kukariri si jambo zuri sana hasa linalopangwa na kusimamiwa na mwanadamu.🐒Nchi inaingozwa na kauli za uwongo bila kuhusisha wataalamu moja kwa moja kila kitu ni siasa
View attachment 2905577
FEB. 16 ya mwaka gani?Nchi inaingozwa na kauli za uwongo bila kuhusisha wataalamu moja kwa moja kila kitu ni siasa
View attachment 2905577
Bunge limewalinda Serikali hadi June ....ingawa wenyewe walisema March.....wameoewa tena ultimatumNchi inaingozwa na kauli za uwongo bila kuhusisha wataalamu moja kwa moja kila kitu ni siasa
View attachment 2905577
Nikiripoti kutoka kyela mbeya
Panapo majira ya asubuhi na mapema, kabla jogoo hajawika Tanesco wamewika😁
Takataka nyingine zipo mjengoni hapo kichwani zimejazaa matope.Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha.
"Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili, tunawapongeza sana na mmerejesha mpaka mwezi wa tatu kwa hizo mashine zote kukamilika, Bunge linawapa mpaka mwezi wa sita ili bunge linapokuwa hapa mgao uwe umeisha, tunawapongeza sana kwa kazi nzuri," - Spika wa Bunge
Pia soma:
- Naibu Waziri wa Nishati: Mgawo wa umeme nchini utaisha mwezi wa tatu