Muendelee kutuvumilia,bado kidogo tunaweka mitambo sawa...Tukumbuke kwamba Leo ni tarehe 16/02/2024 lakini cha kushangaza watendaji wa shirika hilo Leo tarehe 16/02/2024 wamekata umeme nachojiuliza je matamshi waliyotoa kupitia vyombo vya habari ilikuwa NI janjajanja ya kuwalaghai wananchi?
Mbona Zama hizi matamko NI mengi kuliko vitendo ?
SGR Kuanza January 2024 imepita na safari za kutoka morogoro hadi dares salaam hamna
TANESCO kama kawaida mgao unaendelea walichowaambia wananchi NI kiini macho cha kitapeli.
Mama hawa watu unawalea lakini wanaliangamiza taifa punguza ziara pambana na hawa watu ambao NI wazembe kazini.
Sio TANESCO tuu, sijawahi kumuona kiongozi muadilifu nchi hiii. Kila mtu hapa TZ. ni muongo. Kwa hiyo hawa TANESCO wanatembelea tabia za waliowaajiri. Ingekuwa serikali iko serious wasingethubutu kudanganya. Maana wanajua kingewawakia. Ila wana nguvu ya kudanganya wananchi kwani wanajua hawatafanywa loloteHao TANESCO watakoma na ahadi zao za kusadikika.
Wanawake wanaweza ...Kazi iendelee
Very shameful.Sio TANESCO tuu, sijawahi kumuona kiongozi muadilifu nchi hiii. Kila mtu hapa TZ. ni muongo. Kwa hiyo hawa TANESCO wanatembelea tabia za waliowaajiri. Ingekuwa serikali iko serious wasingethubutu kudanganya. Maana wanajua kingewawakia. Ila wana nguvu ya kudanganya wananchi kwani wanajua hawatafanywa lolote