Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni haki yaoKuna wasokuwa na Mungu?
Sasa ipo mbioni tekinolojia ya kutumia seli zako za mwili kuweza kutengeneza organic yoyote kasoro mfumo wa fahamu.Mungu hayupo.
Pesa sio kila kitu.
Tajiri mwenye kansa ya ini aliye karibu kufa pesa zake haziwezi kumsaidia chochote.
Mungu anaye pigiwa kelele kila siku na wagonjwa wakisali na kufunga kumwomba Mungu huyo awaponye Lakini Nothing happens, Wana ishia kufa tu.
Mungu hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
KumbeUmenena vyema!
Naongezea!
Acha kupoteza muda na jumuia za mtaani kwako za wakatoriki au walutheri wao wanawinda hela yako! Hata kanisani wanawinda hela yako. Siku usipopeleka sadaka ndo utawatambua!
Mkuu pesa sio kila kitu na si kwamba pesa ina nguvu kwenye kila kitu.Sasa ipo mbioni tekinolojia ya kutumia seli zako za mwili kuweza kutengeneza organic yoyote kasoro mfumo wa fahamu.
Bila pesa huwezi kupata aina hii ya utaalamu wala tekinolojia.
Mungu hayupo ila pesa ndio kitu chenye nguvu duniani
Mungu huyo hana thamani yoyote ile.Saa inakuja pesa itakosa thamani, kutatokea market crash.
Mungu ndo wa thamani kuliko kitu chochote.
Mkuu , Yuko Mungu Mkuu kuliko miungu yote, ishi maisha matakatifu, mtafute anapatikana. Mazingira yetu yanaonyesha yuko Designer aliyeunda, motion ya sperm, orgasm ni uthibitisho mkubwa wa kuwepo kwa Mungu.Mungu huyo hana thamani yoyote ile.
Huyo mungu Hadi tumtafute kwanini asitutafute yeye!Mkuu , Yuko Mungu Mkuu kuliko miungu yote, ishi maisha matakatifu, mtafute anapatikana. Mazingira yetu yanaonyesha yuko Designer aliyeunda, motion ya sperm, orgasm ni uthibitisho mkubwa wa kuwepo kwa Mungu.
Kwani ukitaka maarifa humtafuti mwenye maarifa?Huyo mungu Hadi tumtafute kwanini asitutafute yeye!
Yani sadaka tumpe na kumsaka tumsake
😂😂😂😂Huyo mungu Hadi tumtafute kwanini asitutafute yeye!
Yani sadaka tumpe na kumsaka tumsake
Mungu huyo anatafutwa kwani amepotea?Kwani ukitaka maarifa humtafuti mwenye maarifa?
Ukiwa unaumwa humtafuti daktari?
Ukitaka kuwa na mahusiano humtafuti mwanamke?
Kwanini usimtafute Mungu ?
Hajajificha mkuu, amejionyesha kupitia nature aliyoiumba, cosmos na pia kwa kuleta viumbe hai duniani.Mungu huyo anatafutwa kwani amepotea?
Mungu huyo anacho jifichia ni nini hadi atafutwe?
Mungu huyo akijulikana na kujidhihirisha yupo, itabadilisha nini yeye kuwa Mungu?
Kwa nini ajifiche huko?
Designer huyo ali umbwa na nani?Mkuu , Yuko Mungu Mkuu kuliko miungu yote, ishi maisha matakatifu, mtafute anapatikana. Mazingira yetu yanaonyesha yuko Designer aliyeunda, motion ya sperm, orgasm ni uthibitisho mkubwa wa kuwepo kwa Mungu.
Mtafute designer atakuambia kila kitu, majibu ya maswali yako anayo designer.Designer huyo ali umbwa na nani?
Kuna ulazima gani wa kwamba mazingira yetu yalikuwa Designed na designer?
Kama ulazima huo upo, Je designer huyo alikuwa designed na nani?
Kabda ya designer huyo ku design mazingira yetu alikuwa wapi na alikuwa anafanya nini huko alikokuwa?
Na huko alikokuwa kulitoka wapi?
Kabla ya kuumba Nature, Muumba huyo alikuwa wapi?Hajajificha mkuu, amejionyesha kupitia nature aliyoiumba, cosmos na pia kwa kuleta viumbe hai duniani.
Na mwisho wa siku amejitambulisha kupitia kwa Yesu Kristo aliyeyatoa maisha yake kwa ajili yako. Yesu yupo na ameandikwa kwenye vitabu vya kihistoria.
Muumba wa mambo yote ni eternal.Kabla ya kuumba Nature, Muumba huyo alikuwa wapi?
Na huko alikokuwa, kulitoka wapi?