Fedha na Mungu ndiyo mtetezi wako, jitahidi utafute kwa bidii hivyo vitu viwili

Fedha na Mungu ndiyo mtetezi wako, jitahidi utafute kwa bidii hivyo vitu viwili

Hata wewe ni mtazamo wako, Hakuna uthibitisho wowote ule wa kuumbwa Dunia.

Zaidi ya propaganda za kidini na hadithi za Biblia na maandiko yote ya kidini ya kutungwa ya uongo uongo tu.
Designer yupo hai na wala si hadithi za kidini.
Yuko Mungu anayejibu maombi.
Yuko Mungu anayetenda miujiza chini ya sekunde.
Yuko Mungu anayeokoa kwa mkono ulio.hodari, hahitaji umsaidie.
Yuko Mungu anayelinda.
Yuko Mungu anaweza kupa siri hata ya msichana wako anayekucheat mpaka plate number ya gari aliyopanda na guest aliyoingia.

Anaitwa Mungu wa Wakristo wanaoishi maisha matakatifu sana. Njoo uonje wema wa Yesu Kristo, hujachelewa, mwamini Bwana Yesu, ubatizwe na nguvu za Roho Mtakatifu, utaanza kushuhudia kwa macho yako.
 
Designer yupo hai na wala si hadithi za kidini.
Naku uliza hivi 👇

Designer huyo kabla ya kuumba Dunia,

Alikuwa wapi?

Akifanya nini?

Na huko alikokuwa kulitoka wapi?
Yuko Mungu anayejibu maombi.
Wagonjwa, yatima, wajane, maskini, walemavu n.k kila siku humuomba Mungu huyo awaponye shida zao lakini Nothing happens.

Wana endelea kuteseka kwenye dunia unayodai imekuwa designed na Mungu mwema mwenye upendo na huruma.

Yuko Mungu anayetenda miujiza chini ya sekunde.
Yuko Mungu anayeokoa kwa mkono ulio.hodari, hahitaji umsaidie.
Maelfu ya watu wamekufa hasa watoto wadogo na wanawake wasio na hatia yeyote kutokana na Vita mbalimbali duniani, majanga ya asili mbalimbali duniani kama radi, vimbunga, mafuriko, matetemeko ya ardhi n.k

Lakini Mungu huyo unaye dai Anaokoa hajafanya chochote.
Yuko Mungu anayelinda.
Yuko Mungu anaweza kupa siri hata ya msichana wako anayekucheat mpaka plate number ya gari aliyopanda na guest aliyoingia.

Anaitwa Mungu wa Wakristo wanaoishi maisha matakatifu sana. Njoo uonje wema wa Yesu Kristo, hujachelewa, mwamini Bwana Yesu, ubatizwe na nguvu za Roho Mtakatifu, utaanza kushuhudia kwa macho yako.
Mungu huyo HAYUPO na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Maelfu ya watoto wachanga wamekufa kwa vita halafu unasema Mungu huyo anaokoa, na ni Mungu mwenye Upendo na huruma...!!!!

It doesn't make sense at all...!!!
Screenshot_20231020-132727.png
 
Mkuu pesa sio kila kitu na si kwamba pesa ina nguvu kwenye kila kitu.

Pesa haiwezi kuzuia majanga ya asili kama radi, vimbunga, mafuriko, matetemeko ya ardhi yasilete maafa kwa binadamu.

Hata Sayansi na teknolojia bado inashindwa kudhibiti majanga haya.

Majanga haya yameongoza kuua maelfu ya watu mpaka karne hii.
Infropreneur mkuu, kiongozi, jembe, kamanda kwanza nakubali sana mchango wako.

Pili kwenye kanuni za kisayansi lazima kuwe na constant tuipe jina K.

K ndio Yale majanga kuonyesha imperfection ya Dunia na ulimwengu kwa ujumla.

Kumbuka kile kimbuka kule Jupiter.

Hii inaonyesha hakuna Mungu hata kidogo.
Lakini pesa ni kila kitu au lah!

Ni mtizamo mwingine
 
Japo maisha siyo kutesa kila siku, ila pesa ndiyo kila kitu...
 
Back
Top Bottom