Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Designer huyo hayupo.Mtafute designer atakuambia kila kitu, majibu ya maswali yako anayo designer.
Ni mtazamo wako.Designer huyo hayupo.
Hakuna ulazima wa kwamba Dunia yetu iliumbwa.
Dunia Haina mwanzo wala mwisho.
Hakuna designer aliye Design Dunia hii.
Hata dunia ni eternal.Muumba wa mambo yote ni eternal.
Hata wewe ni mtazamo wako, Hakuna uthibitisho wowote ule wa kuumbwa Dunia.Ni mtazamo wako.
Designer yupo hai na wala si hadithi za kidini.Hata wewe ni mtazamo wako, Hakuna uthibitisho wowote ule wa kuumbwa Dunia.
Zaidi ya propaganda za kidini na hadithi za Biblia na maandiko yote ya kidini ya kutungwa ya uongo uongo tu.
Naku uliza hivi 👇Designer yupo hai na wala si hadithi za kidini.
Wagonjwa, yatima, wajane, maskini, walemavu n.k kila siku humuomba Mungu huyo awaponye shida zao lakini Nothing happens.Yuko Mungu anayejibu maombi.
Maelfu ya watu wamekufa hasa watoto wadogo na wanawake wasio na hatia yeyote kutokana na Vita mbalimbali duniani, majanga ya asili mbalimbali duniani kama radi, vimbunga, mafuriko, matetemeko ya ardhi n.kYuko Mungu anayetenda miujiza chini ya sekunde.
Yuko Mungu anayeokoa kwa mkono ulio.hodari, hahitaji umsaidie.
Mungu huyo HAYUPO na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Yuko Mungu anayelinda.
Yuko Mungu anaweza kupa siri hata ya msichana wako anayekucheat mpaka plate number ya gari aliyopanda na guest aliyoingia.
Anaitwa Mungu wa Wakristo wanaoishi maisha matakatifu sana. Njoo uonje wema wa Yesu Kristo, hujachelewa, mwamini Bwana Yesu, ubatizwe na nguvu za Roho Mtakatifu, utaanza kushuhudia kwa macho yako.
Infropreneur mkuu, kiongozi, jembe, kamanda kwanza nakubali sana mchango wako.Mkuu pesa sio kila kitu na si kwamba pesa ina nguvu kwenye kila kitu.
Pesa haiwezi kuzuia majanga ya asili kama radi, vimbunga, mafuriko, matetemeko ya ardhi yasilete maafa kwa binadamu.
Hata Sayansi na teknolojia bado inashindwa kudhibiti majanga haya.
Majanga haya yameongoza kuua maelfu ya watu mpaka karne hii.