Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Nyumbu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya serikali ndivyo yalivyo...Pesa yao iliwe na maofisa wao halafu wavute subira!! Mchezo huu mpaka lini? Mbona wakati wa aliyekuwa DED Magu LUTENGANO MWALWIBA mambo haya hayakuwepo? Hata kama yalikuwepo ilikuwa kwa kiasi kinachovumilika, ila siyo sasa!!
Una hakika na usemayo kwamba malalamiko yanayotolewa ni majungu?Hili ni jukwaa gani?
Leo ndio mara yangu ya Kwanza kuingia jukwaa hili la majungu.
Kwan nyie hamfaham kwamba zoezi la PEPMIS limevuruga ratiba nyingi ofisi ya DEO?
Magu ipo mwanzaHivi Magu iko Geita au Simiyu kwa yule mwanaizaya firauni RC mstaafishwa Yahaya mpenda mavi?
Roga gido haoBuhatwa ni mwiba hapo Idara ya Elimu Magu DC kwa sababu siyo muadilifu hata kama elimu yake kitaaluma inakidhi matakwa ya ajira ya nafasi anayoisimamia kwa sasa.
Buhatwa ni Afisa asiyekuwa na maadili, na kama ataendelea kuwa SLO Magu DC bila kujirekebisha; ipo siku atasabanisha balaa kwenye idara hiyo na atamwathiri Mkuu wa Idara ambapo yeye binafsi anajitahidi sana kusimamia vema Idara hiyo, licha ya maofisa vichomi waliosalia hapo kama Johari na Buhatwa baada ya Nyagabona kuhama Magu.
Buhatwa kwa kushirikiana na Afisa huyo aliyehamishiwa Misungwi (Bwana Nyagabona); wamefanya mambo mengi sana ya hovyo kwenye idara ya Elimu wilayani Magu, ikiwemo kuhamisha waalimu wenye sifa za kukaa vituoni, lakini kwa sababu ya kupenda rushwa maafisa hao hudiriki kuvuruga ikama ya waalimu ili wapate nafasi ya kufanya mabadiliko ya waalimu wakuu vituoni kama walivyomtoa Mwalimu Mkuu MTIGANDI(MWENYE UTAALAMU WA ELIMU MAALUM) ALIYEKUWA MWL. MKUU SHULE MAALUMU ITUMBILI; WAKAMTOA NA KUMHAMISHA, KISHA WAKAMPA NAFASI HIYO MWALIMU ASIYEKUWA NA SIFA ILI KUONGOZA SHULE HIYO KWA SABABU ALIWAPA RUSHWA.
Mwalimu huyo wa kike aliyepewa nafasi hiyo ya Mwalimu Mkuu ITUMBILI SHULE YA MSINGI alihamishiwa hapo kutoka shule nyingine ya Msingi ambako ALIPIGANA NA MWALIMU MWEZAKE WA KIKE.
Hata sasa baada ya kuwa amehamishiwa Shule ya Msingi ITUMBILI kama Mwalimu Mkuu; AMEPIGANA TENA na Mwalimu mwenzake wa kike akiwa shuleni hapo.
Kufuatia tukio hilo, viongozi mbalimbali wa Ofisi ya Elimu Wilayani, walikwenda shuleni hapo kufuatilia tukio hilo baya; lakini bado Mwalimu huyo bado ni Mwalimu Mkuu wa ITUMBILI SHULE YA MSINGI, kana kwamba jambo alilofanya la kupigana kazini ni jambo la kawaida.
Wapi DEO Msingi Magu? Wapi TSC Wilayani Magu? Yetu macho[emoji849][emoji849]

Wasomeeni dua mbaya hao wote wanaowatesa hakuna namnaFedha zenu za likizo zitakuwa zimechukuliwa na maofisa wenu wa Idara ya Elimu na wamekopeshana; hamzipati sasa hivi ng'o mpaka shule zitakapofunguliwa!!
Wakiwahurumia sana watawawekea kwenye Mshahara wenu wa mwezi huu wa 6/2024.
Tatizo la Idara ya Elimu Msingi Magu DC ni maofisa wake kukosa kabisa uadilifu kuanzia SLO wao Jack Buhatwa, Afisa Taaluma Johari Mwasha; na inawezekana hata Afisa Elimu Glory Mtui ameshaambukizwa sumu hiyo!!
Inawezekanaje waalimu wasiwe wamelipwa fedha zao za likizo mpaka sasa wiki ya pili tangu shule zifungwe? Hizo fedha kama zitalipwa pamoja na mishahara ya mwezi wa sita waalimu ndio waanze likizo?
Ninyi ni maofisa wabadhirifu, majangili msiokuwa na huruma kabisa kwa watumishi wa chini yenu!!
Mnafanyia biashara pesa za waalimu, mkishazizalisha ndio mnawalipa sivyo?
Buhatwa na Johari ni wala rushwa wakubwa wa pesa za waalimu wanaopewa madaraka ya Ualimu Mkuu na uhamisho; mtalaaniwa na dhuluma hiyo mnayowafanyia waalimu.
Buhatwa utaendelea kulewa na kutembea na wanawake wazee kama mama zako na hutaoa!!
Johari utaendelea kuzini na waume wa watu, watakunyung'unya mpaka utakongoroka na utaambulia stress; unakula pesa za waalimu ili ufanye biashara ya kukopesha kwa kushirikiana na swahiba wako Mbochi eeh?
Mbochi amekurusha mamilioni ya pesa mpaka umempiga marufuku asikanyage hapo ofisi ya Elimu Magu; hiyo ofisi ni mali yako? Mbochi amekuweza, kibumbu amekula na pesa amekula amekuachia madeni mpaka utakoma!!
Mnadanganya waalimu kwamba eti pesa hazishuki; uongo mtupu!! Hizo pesa za Other Charges kwa nini zisishuke na ziko kwenye mwaka wa fedha unaoendelea?
Mnadhani waalimu wote hawajui mfumo wa fedha za serikali unavyofanya kazi?
Mbona Halmashauri zingine za nchi hii waalimu wameshalipwa fedha zao za nauli za likizo hii inayoendelea? Hizo Halmashauri zinategemea Treasury ya nchi gani?
Naibu Karibu Mkuu CHARLES MSONDE; shughulikia hawa nyang'au Buhatwa na Johari; wanatesa waalimu sana.