Fedha zilizokuwa katika akaunti maalumu ya IPTL (Tegeta Escrow account), ni mali ya umma

Kwani kuna anayesubiri miujiza ya Escrow??hilo lipo wazi,sio mali ya umma..hakuna miujiza hapo,na hao wanasiasa mchwara wanaota ndoto za alinacha
 

Wewe ndugu yangu acha ushabiki! ripoti ya CAG umeiona wapi wewe? Subiri tarehe 26, acha kutoka povu.
 
Kwani kuna anayesubiri miujiza ya Escrow??hilo lipo wazi,sio mali ya umma..hakuna miujiza hapo,na hao wanasiasa mchwara wanaota ndoto za alinacha

tena mwanasiasa uchwara anayetoa hayo maneno hata uhakika wa kurudi bungeni kwa mara ya pili hana maana chadema tunalikamata jimbo lake la kigoma kaskazini ili ajue matunda ya usaliti wa harakati za mapinduzi sababu ya pesa
 

subiri uone ripoti inavyokutoa jasho la pua
 
 

Umeandika chapuchapu ukiwa umepakatwa na kuli, kukwepa joto kupanda, kwi kwiiiiiii!
 
Kwani kuna anayesubiri miujiza ya Escrow??hilo lipo wazi,sio mali ya umma..hakuna miujiza hapo,na hao wanasiasa mchwara wanaota ndoto za alinacha

hawaelewi hawa watu sababu akili zao zimefungwa na itikadi na uchama badala ya kuangalia haki na sheria inavyoongelea jambo fulani
 
Haya sasa kiko wap...??? PAC wameanza uumbuka nao duh!

na wataumbuka haswaaaa kwa kuwapotosha watanzania na kuvuruga amani ya nchi plus damu ya watanzania waliokufa kutokana na uongo huu waliousambaza kwa wahisani zitakuwa juu yao
 
naona swali limepunguiwa vitu vyote , utafiti ni wake kama haukufurahishi toa utafiti wako wewe

Kweli kaka. Hiyo ndo njia pekee ya kupinga hoja anayoweka mtu mezani,ukiwa hukubaliani na utafiti wa mwenzio embu weka wa kwako tuone na tupime..usije ukawa unajaza ujinga tu kichwani ilihali unaweza kupata maarifa.
 
Kama pesa ni zao kwa nini wanahangaika kueagawia viongozi wetu?wanataka kuficha nini?hukumu ya mahakama ya kibiashara uliiona?
jiza lishaingia jombaa.

acha akili za kitoto unachoshangaa nini? mfanyabiashara kugawa hela au viongozi kupewa hela, kama wamepewa kutokana na ukarimu wa mfanyabiashara kinachokuuma nini?,kama amehonga waziri mbunge sababu ni hawara yake unawashwa nini?, kama ametoa ili kujenga mahusiano mema na watu aliowapa kinakuboa nini?,acha fikra za kimasikini kiasi hicho
 

Saba elfu, ipo kazini
 

baelezeee baelewe
 
Hivi mijitu mbona haijiulizi kipind hcho chote umeme ulikuwa unazalishwa bure au??? Watu wanadai madeni, wakati umeme mmetumia..ukila cha mtu na wewe lazima uliwe......sina maan hiyo, mwenye chake mpeni!
 
uchizi huu kwa mwendo huu hata jirani akinunua gari unapigia hesabu hiyo hela ungenunua chupi ngapi za mmeo
Acha upunguani, matusi ya nini sasa, hivi mtatumika mpaka lini? Hivi unaona bei ya umeme huu wanaotuuzia tanesco kwa bei ya kutupa, afu ukasikia watu wamegawana surlplus, unaona ni sawa kweli? Wewe unadhani hata zingekua ni za iptl kwa hiyo viongozi ndo wenye haki ya kugawana hizo pesa? Unamanisha viongozi ndo iptl? Nahata ingekua tofauti huyo rugemarilwa kiongozi wa kampuni tanzu amepata faida kiasi gani mpaka kugawia viongozi mipesa kama njugu? Hivi kama kapata faida kiasi hiko maka kugawa kiasi cha mablioni, viongozi wetu hawaoni haja sasa yakupunguza gharama za umeme ili mwananchi wakawaida aweze kumudu kuliko kumkamua mwananchi hohehahe alafu unamchapa viboko achangie maabara? Acheni ushabiki. Hii ni pesa ya uma nalazima irudi na wahusika kuchukuliwa hatua zakisheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…