crabat
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 4,323
- 2,207
IPTL ni private company.
Wanaweza kuuza share zao kwa kupitishwa na bodi ya directors.
Hii sio puplic company .
Hivyo suala la kuuzwa ni lao wenyewe na ni halali na ndio maana hakuna share holders alie kuja kulalama kuwa uuzwaji huo sio halali.
VIP Eng. Wao pia walifuta kesi yao na pia wamepokea mgao wao wa kuuza hisa zao.
Umeme hauzalishwi bure
Capacity charges ni halali kwa mujibu wa mkataba uliopo
Wameuza kampuni na mnunuzi amenunua na yupo responsible kwa madeni na mapato ikiwa pamoja na Escrow.
Kuuzwa kwa IPTL bei poa ni makubaliano yao ikitegemea madeni ya kampumi ambayo ni makubwa na interest imevuka kiwango.
Tuwache uwingo na uchoyo
Isije watu wamekosa mgao them wana create story kupanda chat ya kisiasa .
Tuwe makini na uchoyo
Kama yapo makosa tuseme ni wale walio ingia mkataba na IPTL miaka ya mzee mwinyi.
Kumiliki vitalu halihusu yeye ni mfanya biashara na haikatazwi zito kumiliki muhimu kuweza kuvitumia huu ni uchoyo mwengine.