Habari,

Ningependa kutambulisha mfumo huu wa fedhabook ambao ni mfumk wa online wa kutunza kumbukumbu za kibiashara kama vile manunuzi, mapato , matumizi na mauzo.


vile vile unakusaidia kutunza taarifa za bidhaa ili owe rahisi kujua bidhaa gani zinatoka na bidhaa kiasi gani zimebakia (stock)


Mfumo huu unaweza kuutumia katika biashara ya pharmacy kwakuwa unatunza taarifa za expire (kuweza kukusaidia kujua bidhaa zinazoelekea kuharibika)


Utakapokuwa na mfumo huu na ukawa unaingiza taarifa zako kwa ufasaha basi mfumo huu utakuchambulia mauzo yote ya bidhaa zako pamoha na kukujulisha faida au hasara kama ipo katia biashara yako.



Mfumo huu ni wa online ina maana popote utakapokuwa unaweza kujua kinachoendelea katika biashara yako.

kwa ufafanuzi zaidi na maelezo ya kina pamoja na kupata mfumo huu tuwasiliane kupitia namba 0711 707070
 
Wabongo ndo maana tunafeli, sasa installation fee ya nini hapo na mtu anaenda kukulipa hela kila mwaka?
Muache mtu na pricing yake boss kama unaona hauimudu si utafute asiyekuwa na installation fee.

mbona haujahoji kwanini ving'amuzi unauziwa ilihali unalipia kila mwezi
Internet fiber kuna installation free ...inayokuja kwa jina la security ila huoji

kama unafahamu hayo mambo ya jamaa na unania ya kutoa ushauri ungeelewesha tu na sio kumwambia mtu anafeli.....
tunaofanya hizi system tunajua ni kiasi gani zina challenge hasa hasa day one mteja anapoanza kuitumia
ACHA UJUAJI
 
Wabongo ndo maana tunafeli, sasa installation fee ya nini hapo na mtu anaenda kukulipa hela kila mwaka?
mfumo ni wa online boss..hayo malipo ya kila mwaka ni malipo ya hosting na kuhifadhi data zako za online kukuwezesha kuziona popote utakapokuwa.
Kama utahitaji uwe unatumia kwenye kifaa chako kimoja tu yaani mfano ofisini kwako tu huhitaji online hakuna malipo ya kila mwaka, utalipia mara 1 tu.

Madhara au hasara ya kutumia offline ni kuwa pindi computer yako ikileta shida utapoteza taarifa zako zote za awali na mfumo pia utapotea.
 
Aisee bora quickbooks
ni kweli bora uangalie huduma inayoendan na mahitaji ya biashara yako.

Hata hii kuna walioichagua kuwa mbadala wa tally na quickbooks walizokuwa wakitumia awali
 

Hufai kuwa customer service officer au kuwa front page ya biashara
 
Habari
Ningependa kutambulisha system yangu ya kutunzia na kufanyia mahesabu ya kibiashara kama vile manunuzi , mauzo, mapato na matumizi.

System hii unaweza itumia online kwa maana popote utakapokuwa unaona mahesabu yako au kuitumka hapo hapo ofisini tu.

Utaweza kutunza manunuzi yotr uliyofanya, mauzo yote, matumizi na mapato yako na mfumo wenyewe utakupa mahesabu yote ya faida au hasara, hesabu za bidhaa zilizouzwa na zilizobaki nk

Pia system itakujulisha bidhaa ambazo zime expire na kuziondoa katika biashara yako.

System hii inaweza kutumika katika supermarket, mini supermarket, duka lolote la bidhaa la rejareja au hata maduka ya bidhaa za jumla.

Pia pharmacy inaweza kutumia mfumo huu kwakuwa mfumo unajulisha bidhaa zilizoharibika na zinazoexpire pia

Offa hii ni ya siku 7 tu kuanzia 01-01-2024 mpaka 07-01-2024 na inahusisha mmiliki mwenye biashara 1 tu

+255 711 707070
 
Kazi yako wewe kama mmiliki wa biashara ni kuingiza tu taarifa sehemu husika kisha mfumo utachambua wenyewe faida au hasara iliyopatikana, itachambua mauzo ya siku, wiki, mwezi hata mwaka
 
Vipi kuhusu sie tunaouza mazao ya chakula, system inaruhusu kufanya kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…