Vipi kuhusu sie tunaouza mazao ya chakula, system inaruhusu kufanya kazi?
System utaitumia kwa kila aina ya biashara inayofanya manunuzi na mauzo.
Kikubwa biashara iruhusu ubadilishanaji wa fedha tu kutoka kwa suolier, muuzaji na mteja wa mwisho
Hata kwa wale wanao nunua malighafi kisha wanazalisha bidhaa mpya system inaruhusu.
 
Ninatoa offa hii kwa wamiliki wa maduka ya madawa kwa kuwapatia mfumo wa kusimamia mahesabu ya manunuzi, mauzo, mapato na matumizi.PHARMACY MANAGEMENT SYSTEM

Kupitia mfumo huu ambao aidha atautumia online au offline utanrahisishia utunzaji wa kumbukumbu zote za manunuzi, mauzo, mapato yake na matumizi yote.

Hii itamsaidia mmiliki huyu wa biashara hii kujua faidia halisi iliyopatikana
kazi hii itafanywa na system yenyewe.

Pia ataweza kujua stock yote ya madawa yaliyobakia kwenye biashara yake na zile zinazoelekea kuharibika (expire).

Utaweza kufungua account ya cashier mtu ambaye yeye kazi yake ni mauzo tu na hawezi jua lolote linaloendelea katika mahesabu ya manunuzi na faida au hasara.

Pia system hii inaruhusu kuprint risiti ikiwa utahitaji kufanya hivyo

Offa hii ni ya siju 7 tu kuanzia 01/01/2024 mpaka 07/01/2024

Kwa 300,000 tu unajipatia system hii

0782 780 980
 
OFFA YA KUUANZA MWAKA 2024
KWA Tsh. 300,000 Tu unajipatia mfumo
 

weka bbei
 

Kuna siku mtu kasema anauza kitu kumfuata ana sema mil30 [emoji23][emoji23]angekua amesema bei nisingejisumbua
 
Nikiwa kama mdau wa afya MWANDAMIZI senior ntakutafuta tuzungumzee zaidi..

Kwa Sasa ni hayo tu
 
Tunza kumbukumbu za manunuzi, mauzo, mapato na matumizi

Fahamu faida zipatikanazo katika bidhaa zako unazouza.
Mfumo ni kwa aina yoyote ya biashara
jumla na rejareja, pharmacy na supermarket
 
vipi mifumo isipo somana

nafikiri umewahi kusikia hicho kitu
 
epuka matumizi ya daftari katika kutunza taarifa muhimu za biashara yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…