PongLenis
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 427
- 133
leo nimemaliza.... meno yamepona .....
so it works
ila inahitaji moyo ... mdomo wanuka kama shimo la choo....
ila baada ya nusu saa unaweza piga mswaki unarudi kwa hali ya kawaida
ahsante sana MziziMkavu
so it works
ila inahitaji moyo ... mdomo wanuka kama shimo la choo....
ila baada ya nusu saa unaweza piga mswaki unarudi kwa hali ya kawaida
ahsante sana MziziMkavu
Last edited by a moderator: