Feedback: Mkojo umetibu maumivu kwenye meno yangu

Feedback: Mkojo umetibu maumivu kwenye meno yangu

Unaweza kusukutuwa mkojo wako waAsubuhi bibie Pretty jaribu kufanya hivyo kwa muda wa siku 3 kisha uje unipe feedback

Sio tu Mafuta ya karafuu hata karafuu zenyewe ni Dawa ya jino.

..........Nimejaribu mafuta ya karafuu, nimeweka kwenye jino tokea juzi haliumi tena.

Ngoja nisikilizie hii clove oil, kabla ya sijaenda kwenye pee.
 
Back
Top Bottom