Wewe sawa sawa na wale Waislam feki wa ISIS wana wauwa watu kwa kisingizi cha kuleta U-Khalifa katika nchi
za kiislam wapi katika Quran imesema uwauwe Watu eti kwa sababu wanakataa utawala wa khalifa? kama sio ukafiri huo ni kitu gani?
Wanaleta hadithi zao feki ili kutekeleza Maamuzi yao. Hadithi ninayoikubali ni ile hadithi inayokwenda na Aya za Quran hadithi
zilizobakia ni hadithi feki sina mpango nazo mimi ninafuata Quran ndio kitabu ninachokitegemea sifuati hathi zenu za kukuleteeni faida
kivyenu. Kuhus swala tafuta aya za Quran zinazo tuamrisha kuswali swala 5 kisha uonishe na hadithi utaona zinavyofanana
kiukweli.Haya tafuta Aya ya Quran iliy ruhus watu wanywe mkjo wa ngamia na hadithi iliyo ruhus mkojo wa ngamia kunywa kama
utaipata Aya Ya Quran inayo ruhus waislam wanywe mkojo wa ngamia kwa sababu ni dawa? nipatie Mkuu
chilubi hapa umefika kwangu uliza swali la dini yoyote nitakujibu iwe dini ya Kiislam au dini ya Kikristo utapata jibu mimi ndio
MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.