Feedback: Mkojo umetibu maumivu kwenye meno yangu

Mkojo wa pili hautakiwi utumie unachotakiwa ukojoe mkojo wa kwanza ule ule mkojo wa kwanza kabla ya kula kitu unatakiwa ndio unywe unakuwa ndio mkojo wa dawa uliobakia sio mkojo wa dawa tena utakuwa mkojo wa kawaida mkuu Shark

Aisee aim desperate meno yamekuwa yanasumbua sana week iliyopita niliziba leo jingine limeanza. .. nimeanza hii tiba inataka moyo kunywa mkojo. .. lakini nikifikiria maumivu acha tu...
 
Hii hatari, mkojo ni kama mavi au jasho....ni uchafu unaotoka mwilini. Ushauri wangu ni kuwa unaweza kujidanganya umetibu meno ukaishia kupata tatizo kubwa mbeleni

Unasema tu, kwasababu haujawahi kuumwa na meno..
Siku likikufika utajuta
 
Mzizimkavu umesema mkojo unatibu Magonjwa yote yasiyotibika hospitalini je inamaana hata Ukimwi pia unaweza tibika kwa njia hiyo???
 
Unakojowa asubuhi unakinga mkojo wako kabla ya kula au kunywa kitu kisha unautia mdomoni na kusukutuwa kwa dakika kama 5 kisha unatema huo mkojo mdomoni. Unafanya hivyo kwa muda wa siku 3 hutoumwa tena na maradhi ya meno maishani mwako.

Mkuu Tee Bag bonyeza hapa.Topic: Mkojo ni dawa???

Unakojowa asubuhi unakinga mkojo wako kabla ya kula au kunywa kitu kisha unautia mdomoni na kusukutuwa kwa dakika kama 5 kisha unatema huo mkojo mdomoni. Unafanya hivyo kwa muda wa siku 3 hutoumwa tena na maradhi ya meno maishani mwako.

320px-Weewee.JPG

Mkojo wako ni Dawa ya maradhi mengi dawa ya maradhi ya Vidonda vya tumbo , maradhi ya figo, Maradhi ya

Ugonjwa wa Kansa za aina yoyote ile , Maradhi ya Hepatit B,Hepatit C, Maradhi ya Pumu, Na kila Maradhi

yasiyotibika Ma-Hospitali mkojo wako ukinywa wewe mwenywe Asubuhi glasi 1 kabla ya kula kitu kwa muda wa

siku 21 utapona kwa hayo maradhi niliyotaja hapo juu. chanzo.Urine Therapy Testimonials

sawa tmekuelewa mkuu
 
He he he he jamani dozi ya siku tatu nilianza leo. .. maumivu yamepungua sanaaa nayasikia kwa mbaliiii. .. ili nilijashauri sana kuunywa ule mkojo. .he he he alafu kumbe wamoto ..
 
Unaweza Kunywa kwa ajili ya Kutibu dawa ya maradhi ya Vidonda vya tumbo , maradhi ya figo, Maradhi ya

Ugonjwa wa Kansa za aina yoyote ile , Maradhi ya Hepatit B,Hepatit C, Maradhi ya Pumu, Na kila Maradhi

yasiyotibika Ma-Hospitali mkojo wako ukinywa wewe mwenywe Asubuhi glasi 1 kabla ya kula kitu kwa muda wa

siku 21 utapona kwa hayo maradhi niliyotaja hapo juu. chanzo. Topic: Umetenda maajabu, siwezi kueleza!!!

Kaka Mzizi mkavu nakupongeza kwa ushauri ambao huwa unatoa, kuhusu vidonda vya tumbo, nilishawahi kunywa sana mkojo kwa mda wa siku 14, lakini hadi leo vinasumbua
 
Sijakataa kama mkojo ni dawa au sio dawa, kwani hata kutoa kafara ili kutokwa na jini pia dawa lakini haifai kufanya ivo, ata wewe unajua. Kwaiyo mi nimetaka kujua tu ndugu Mzizimkavu.... Mi nimgonjwa wa pumu na natamani nitoke pumu, lakini sipo tayari kwenda kinyume na mafundisho ili nipone tu....
 
Waislam wanakunywa mkojo wa ngamia itakuwa kunywa mtu mkojo wako mwenyewe ? Achana na kuleta mambo ya Dini hapa Tafadhali sana Mkuu chilubi nionyeshe wapi katika Quran wapi palipo andikwa ni najisi mtu kunywa mkojo wako mwenyewe ? Usilete hadithi zako lete aya ya Quran. Na nionyeshe wapi katika Quran imeruhusu mtu kunywa mkojo wa ngamia?

Sasa hapa ndo unataka pajadiliwe dini sasa, mambo ya kuleta aya na hadith yamehusu nini sasa? Wakati jibu lingekuwa simple tu kama ungesema haijakatazwa popote pale. Ningekuelewa nikafanya research yangu, lakini unataka aya, basi sasa tufungue mada katika jukwa la dini tujadili. Unasema nsilete hadith zangu mi sina hadith, kikubwa ntaquote tu kama ipo, na kwa ulivojibu, unaonekana huzikubali hadith, na kama huzikubali, utanishangaza unasali sala tano wakati hazikutajwa katika Quran, na sielewi unasali vipi wakati quran haijafundisha sala!! Mhhh... Haya wape watu dawa watumie....

Muislam kunywa mkojo wa ngamia sio sababu ya wewe unywe wako, muislam anakula nyama ya ng'ombe basi na wewe kula ya kwako...
 
Kuna tofauti kati ya najis na haram. .. haram imekemewa kabisa ..najis ukijitwaharisha maisha yanaendelea

Walau umenipa jibu kidogo la kunielewesha, naona doctor amepanic kwa kiswali simple kabisa utafikiri nimesema haitibu dawa yake. Ye mwenyewe haoni hata hao watu wanaona mkojo ni uchafu? Uchafu unaotoka baada ua kuchujwa na liver we unauchukua unaurudisha tena ndani, kwanini mgonjwa asiulize vipi? Hakuna doctor ambae hatoi jibu kwa mgonjwa wake pale penye mashaka, ukienda kwa doctor yoyote duniani, akikupa dawa ina substance ambayo ni haram kwa mujibu wa imani yako, kama unajua doctor ni wa dini yako utamuiliza tu, na majibu yake atakayokupa ni ya kistaarabu wala hato panic, atakuwa huku akupeleke kule ilimradi utumie lakini hatokwambia uondoke kisa umemuuliza jambo la dini. Nlitegemea mzizi atakuwa wise kwenye majibu, kumbe vengine.

Anyways, mi najua kwa mfano umeingia mkojo mkononi, basi utaosha kwa maji mingi tu ushajisafisha, je vipi najisi iyo ikiwa imo ndani ya mwili, utajitoharisha vipi?

Share the knowledge
 
Sijakataa kama mkojo ni dawa au sio dawa, kwani hata kutoa kafara ili kutokwa na jini pia dawa lakini haifai kufanya ivo, ata wewe unajua. Kwaiyo mi nimetaka kujua tu ndugu Mzizimkavu.... Mi nimgonjwa wa pumu na natamani nitoke pumu, lakini sipo tayari kwenda kinyume na mafundisho ili nipone tu....
Mkuu chilubi Sijakulamisha kunywa mkojo wako ili uweze kupona Maradhi yako ya Pumue nenda Hospitali kajitibie Maradhi ya Pumu Ma-Daktari wapo kila sehemu wewe unapata shida ay nini wakati Ma-Daktari wameajiriwa kwa ajili yenu nyinyi Serikali inawalipa mishahara kwani bure? Achana na dawa yangu ya mkojo kajitibie Hospitali utapona.

Sasa hapa ndo unataka pajadiliwe dini sasa, mambo ya kuleta aya na hadith yamehusu nini sasa? Wakati jibu lingekuwa simple tu kama ungesema haijakatazwa popote pale. Ningekuelewa nikafanya research yangu, lakini unataka aya, basi sasa tufungue mada katika jukwa la dini tujadili. Unasema nsilete hadith zangu mi sina hadith, kikubwa ntaquote tu kama ipo, na kwa ulivojibu, unaonekana huzikubali hadith, na kama huzikubali, utanishangaza unasali sala tano wakati hazikutajwa katika Quran, na sielewi unasali vipi wakati quran haijafundisha sala!! Mhhh... Haya wape watu dawa watumie....

Muislam kunywa mkojo wa ngamia sio sababu ya wewe unywe wako, muislam anakula nyama ya ng'ombe basi na wewe kula ya kwako...
Tango Mwanzo nimekwambia usilete mambo ya Dini hapa wewe ungelikuwa mtu wa hekima ungenitumia PM na kuniuliza hilo swali sasa unataka kuniıliza swali lako mbele ya watu ili iweje? Uonekane unajuwa Mambo ya Dini kuliko mimi nini? Mkuu chilubi Usiharibu Thread za wenzako kwa kuleta mambo ya Udini hapa hakuna Udini hapa tunaelimishana kuhusu faida za dawa hatuko kwenye jukwaa la kuelimishana mambo ya Dini hapa Tafadhali kam huna kitu cha kuzungumza bora unyamaze kuliko kuharibu Thread za watu.
 
Wewe sawa sawa na wale Waislam feki wa ISIS wana wauwa watu kwa kisingizi cha kuleta U-Khalifa katika nchi

za kiislam wapi katika Quran imesema uwauwe Watu eti kwa sababu wanakataa utawala wa khalifa? kama sio ukafiri huo ni kitu gani?

Wanaleta hadithi zao feki ili kutekeleza Maamuzi yao. Hadithi ninayoikubali ni ile hadithi inayokwenda na Aya za Quran hadithi

zilizobakia ni hadithi feki sina mpango nazo mimi ninafuata Quran ndio kitabu ninachokitegemea sifuati hathi zenu za kukuleteeni faida

kivyenu. Kuhus swala tafuta aya za Quran zinazo tuamrisha kuswali swala 5 kisha uonishe na hadithi utaona zinavyofanana

kiukweli.Haya tafuta Aya ya Quran iliy ruhus watu wanywe mkjo wa ngamia na hadithi iliyo ruhus mkojo wa ngamia kunywa kama

utaipata Aya Ya Quran inayo ruhus waislam wanywe mkojo wa ngamia kwa sababu ni dawa? nipatie Mkuu chilubi hapa umefika kwangu uliza swali la dini yoyote nitakujibu iwe dini ya Kiislam au dini ya Kikristo utapata jibu mimi ndio MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.
 
Mkuu chilubi Sijakulamisha kunywa mkojo wako ili uweze kupona Maradhi yako ya Pumue nenda Hospitali kajitibie Maradhi ya Pumu Ma-Daktari wapo kila sehemu wewe unapata shida ay nini wakati Ma-Daktari wameajiriwa kwa ajili yenu nyinyi Serikali inawalipa mishahara kwani bure? Achana na dawa yangu ya mkojo kajitibie Hospitali utapona.

Tango Mwanzo nimekwambia usilete mambo ya Dini hapa wewe ungelikuwa mtu wa hekima ungenitumia PM na kuniuliza hilo swali sasa unataka kuniıliza swali lako mbele ya watu ili iweje? Uonekane unajuwa Mambo ya Dini kuliko mimi nini? Mkuu chilubi Usiharibu Thread za wenzako kwa kuleta mambo ya Udini hapa hakuna Udini hapa tunaelimishana kuhusu faida za dawa hatuko kwenye jukwaa la kuelimishana mambo ya Dini hapa Tafadhali kam huna kitu cha kuzungumza bora unyamaze kuliko kuharibu Thread za watu.

Unasema tunaelimishana, mbona unataka nikufate pm? Unafikiri mi mchoyo wa elimu? Kwanini usijibu tu hapa hapa na wengine wakapata iyo Elimu?
 
Wewe sawa sawa na wale Waislam feki wa ISIS wana wauwa watu kwa kisingizi cha kuleta U-Khalifa katika nchi

za kiislam wapi katika Quran imesema uwauwe Watu eti kwa sababu wanakataa utawala wa khalifa? kama sio ukafiri huo ni kitu gani?

Wanaleta hadithi zao feki ili kutekeleza Maamuzi yao. Hadithi ninayoikubali ni ile hadithi inayokwenda na Aya za Quran hadithi

zilizobakia ni hadithi feki sina mpango nazo mimi ninafuata Quran ndio kitabu ninachokitegemea sifuati hathi zenu za kukuleteeni faida

kivyenu. Kuhus swala tafuta aya za Quran zinazo tuamrisha kuswali swala 5 kisha uonishe na hadithi utaona zinavyofanana

kiukweli.Haya tafuta Aya ya Quran iliy ruhus watu wanywe mkjo wa ngamia na hadithi iliyo ruhus mkojo wa ngamia kunywa kama

utaipata Aya Ya Quran inayo ruhus waislam wanywe mkojo wa ngamia kwa sababu ni dawa? nipatie Mkuu chilubi hapa umefika kwangu uliza swali la dini yoyote nitakujibu iwe dini ya Kiislam au dini ya Kikristo utapata jibu mimi ndio MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.

Upo kimajigambo zaidi mzizi mkavu hauchimbiwi dawa :-D hahahaa..... Kama ivo unavojigamba, nafikiri unajua kuwa hadith ina science yake mpaka useme ni sahih au sio sahih. Tizama unavojizonga sasa, usiaibike kwa mambo madogo, sio wewe ulosema kuwa waislam wameruhusiwa kunywa mkojo wa ngamia ijekuwa mtu kunywa mkojo wako? Wewe ndo unatakiwa uniletee aya yenye kuthibitisha kama hilo ni kweli, kwa sababu umetumia hadithi kuhusu kunywa mkojo wa ngamia, ambayo sasa ivi unajidai ni feki kwa sababu haipo katika Quran icho kitu, mbona unajigonga baba wa elimu? Usijisifie unajua kila kitu ndugu, unaweza ukawa na elimu kuubwaaa lakini ukawa mjinga tu, kwani we humuoni stephen hawking anaesema ulimwengu hauhitaji muumba umejileta wenyewe tu? Unamuonaje we yule kwa mtazamo wa dini yako? Jiulize na yeye anakuonaje wewe na imani kuamini kuwepo kwa Mungu?

Punguza jazba abaa, umeulizwa kitu kidogo umenuna, heh ukiulizwa mengine makubwa itakuaje? Si JF itafungwa? Mbona PongLenis katoa jibu simple tu wala hakuja na maneno kama yako ya kitoto?

Niletee aya unayotegemea wewe kufunga mikono wakati wa kusali.

Inaonekana una elimu kubwa mpaka ukajizonga mwenyewe. Yaani unatuletea stori za kunywa mkojo wa ngamia kisha apo apo unaipinga na kusema feki? Sasa kwanini uliifanya mategemeo yako?
 
Hebu nyamaza mkuu chilubi unaonaje uka ignore Thread zangu kama unaziona hazina maaana? Ni add mimi kwenye Profile yako ignore list usizione Thread zangu unaonaje? Mkuu chilubi ninakupa ushauri mzuri tafadhali usiniharibie usiku wangu ukanifanya nikose usingizi kwa ajili yako umenikwaza sitokusamehe.
Ukitaka nikusamehe usichangie Thread yangu yoyote ile Tafadhali hapo ndipo nitakusamehe .
 
Mkuu sihitaji msamaha wako kabisa kwakuwa eti nimekuuliza swali tu. Hakuna ubaya wa kumuuliza mtu swali kwa kupata elimu. Kama umeudhika umejitakia mwenyewe. Binaadamu gani ulokuwa hutaki kuulizwa swali? Ukinisamehe usiponisamehe sishughuliki, na wala siombi msamaha kwani sijaona kosa nlolifanya lolote lile, kama kuna kosa nimefanya aje mtu anambia kosa fulani nimefanya. Hueleweki mara unasema nkuuliza lolote lile likiwa la kiislam au la kikristo mara unasema nisichangie thread zako, ueleweke vipi? Mi sina tabia ya kublock watu, we kama unataka kufanya ivo, you are free to do it, kwani ukiniblock wewe pia sitoona post zako au sio? Fanya wewe
 
Tafadhali usiniulize Swali la dini hapa kwenye Jukwaa la JF Doctor Mkuu chilubi Tafadhali sana Usiniulize swali la Dini hapa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom