Unaweza kuamini kuwa umepona Meno kwa kusukutua na mkojo wa Asubuhi, hapo umetuliza tu. Na watu wengi wanapotoshwa na mwisho wa siku wanapoteza meno yao. Tiba ya meno sio kama mafua na kikohozi. Magonjwa ya meno yapo makuu mawili,kuoza meno(dental caries) na kuvimba fizi(periodontitis) na yote yanatibika kulingana na steji zake za uharibifu. Nenda kamuone dentist kwa tiba bora ya meno.
nimesoma artcles nyingi kabla ya kufanya haya maamuzi, nkakuta ni kweli inaisaidia.....
wiki mbili zilizopita niliumwa sana na jino, huku ughaibuni lazima uwe na appointment sio unajiendea tu, lakini walinichukuwa kama emergence ..jino lilikuwa na inflammation ... yule doctor akanipiga ganzi 3 ... akafanya root canal akanipiga na xray ... akaziba...
akanambia ... x ray inaonesha jino la mbele nalo soon linakuwa kama hili , ila nenda home likiuma njoo ...pia nakupa appointment mbili... 7 may na tarehe 12 may ..... akanambia hadi matibabu namaliza it will cost me 570$ hiyo ni more than 1milion TZ shillings....
nkaondoka nafuraha maumivu sina nafanya kazi kama kawaida ..... alhamis bana yakaanza tena maumivu..... upande uleule sehemu ileile,....
bahati nzuri napita JF usiku alhamis nkakutana na hii thread... nkaingia online kufanya kuangalia kama hii kitu ipo na ina exist nkakuta ipo....
well ijumaa saa kumi alfajir nkaamka nkajaribu ..... nilijishauri sana harufu ilikera sana... ila amini usiamini mchana nilishinda fresh maumivu 90% yaliondoka....
leo naandika hapa ... jino natafunia ... hakuna maumivu... sihisi chochote.....
nime save 500$ ........
testimonials nyingi nilizosoma ni wazee! watu wana umri mkubwa... basi wangukuwa washakufa na infection
pia ni kusukutua tu! wala si kuunywa mkojo..