Malizia siku iliyobakia usiache kutumia Mkojo wako Mkuu PongLenisMrejesho day 2
nimeamka alfajiri nasikilizia maumivu ya jino .... Hakuna..... Ni kama vile nimepigwa ganzi
nkaona isiwe issue acha niendelee na dozi day 2 ....
Nmebakiza siku moja nipo poa saana tu... Sijui ni malizie
Nilikuwa nasumbuliwa na tatizo la kuumwa na meno kwa muda mrefu.. Na nimetumia dawa nyingi bila kupata ahueni yoyote.
Ila juzi kati nilisoma thread moja ivi ya Mzizi Mkavu nikaona jinsi ya kutibu Meno kwa kutumia mkojo wako wa asubuhi.
Daah nashkuru Mungu sasa ivi nimepona kabisa..
Ahsante sana
Mzizi Mkavu.
I wish huo mkojo ungekuwa unatibu na mgongo!Unakojowa asubuhi unakinga mkojo wako kabla ya kula au kunywa kitu kisha unautia mdomoni na kusukutuwa kwa dakika kama 5 kisha unatema huo mkojo mdomoni. Unafanya hivyo kwa muda wa siku 3 hutoumwa tena na maradhi ya meno maishani mwako.
Mkuu Tee Bag bonyeza hapa.Topic: Mkojo ni dawa???
Unakojowa asubuhi unakinga mkojo wako kabla ya kula au kunywa kitu kisha unautia mdomoni na kusukutuwa kwa dakika kama 5 kisha unatema huo mkojo mdomoni. Unafanya hivyo kwa muda wa siku 3 hutoumwa tena na maradhi ya meno maishani mwako.
Mkojo wako ni Dawa ya maradhi mengi dawa ya maradhi ya Vidonda vya tumbo , maradhi ya figo, Maradhi ya
Ugonjwa wa Kansa za aina yoyote ile , Maradhi ya Hepatit B,Hepatit C, Maradhi ya Pumu, Na kila Maradhi
yasiyotibika Ma-Hospitali mkojo wako ukinywa wewe mwenywe Asubuhi glasi 1 kabla ya kula kitu kwa muda wa
siku 21 utapona kwa hayo maradhi niliyotaja hapo juu. chanzo.Urine Therapy Testimonials
Usinywe basi nenda Hospitali Dawa zinakusubiri kwa hamu acha dawa yangu. Danny Jobila inahitaji moyo mi mpaka leo bado sijaanza hiyo dozi... ..
ila nimeipenda hii dawa
Mkuu Zamaulid Kama unajuwa kusoma Lugha ya Kiingereza Soma hapa chini Mkjo wako mwenyewe ukiunywa kwa muda wa siku 14 utapona Maumivu ya mgongo (Low back pain, very severe)I wish huo mkojo ungekuwa unatibu na mgongo!
Sasa utajaribu kutumia Dawa yangu ya mkojo? Mkuu Ndugu yanguMziziMkavu cjalogwa na mtu yeyote kwani nilianza kuumwa baada ya kunywa vidonge aina ya diclopa
Asante kwa kutupa Feedback Ubarikiwe mkuu kayimukaa Mkojo wako mwenyewe mkojo wa asubuhi kabla ya kula au kunywa kitu ni dawa kwa kila Maradhi.mimi nilikuwa nikila nasikia maumivu kwenye fiz na nilikuwa siwez kula vitu vigumu ila tangu jana asubuh na leo asubuhi baada ya kunywa nimeona maajabu. Ila kwel kunywa inahitaji moyo kwani baada ya kunywa, kinywa chote kinaharuf ya mkojo halaf haiishi haraka. ila sitoacha had kesho nimelize doz kabisa. Hongera mzizimkavu, uzidi kutupa elimu ya tiba.
Sasa utajaribu kutumia Dawa yangu ya mkojo? Mkuu Ndugu yangu
Mkuu Uliza_Bei Kaa wewe na kusema mkojo ni uchafu sisi tunakunywa mikojo yetu na tunapona. Tuache kama tulivyo wewe ukiumwa na meno nenda Hospitali ukatibiwe Dawa zipo kule Hospitali tuache na Dawa yetu ya asili.@ MziziMkavu MziziMkavu Mimi nimetoa angalizo siyo lazima ulifanyie kazi, kama utapenda endelea tu kunywa mkojo lakini nakushauri tena huo ni uchafu tena wenye critical rejects (sometimes toxin). Ndiyo maana tunashauriwa kutokupenda sana kula offals (kama vile maini na figo), sababu kubwa ni ile kazi ya kusafisha (detoxification). Kula maini au figo ya mnyama mwenye afya si tatizo sana kwavile toxin hazitunzwi bali zinasafishwa, lakini inaposhindwa kusafisha ujue itabaki hapo hiyo sumu na siyo nzuri kwako. Sababu nyingine kwanini usinywe mkojo ni kwasababu ina chumvi nyingi na urea jambo linaloweza kukufanya upoteze maji (dehydration), kwa msingi huo ogopa sana kumnywesha mgonjwa hasa katika wakati mgumu (survival situation). Kuhusu Elimu nashukuru, lakini pia mimi siyo mweupe (Layman) katika masuala ya Afya, nikitoa ushauri huwa ni wa kitaalamu pia.