Feedback: Mkojo umetibu maumivu kwenye meno yangu

hahahaha naona mzizimkavu amefungua ID mpya kisha amekuja kujisifia ili kuongeza credibility hapa jf,safi sana mkuu. ndio ujasiriamali ulivyo
Mkuu CHIPS DUME Na wewe unaonaje ufunguwe ID yako mpya na kuja kujisifia dawa yoyote ile . Wapo Ma-Moderator zaidi 20 humu Jamii forums wanafanya kazi gani mpaka mimi nifunguwe ID ya kujisifia kuwa mkojo ni Dawa? sina kazi ya kufanya nini? Kama una wakati wa kusoma Ma-Blog hebu jaribu unitembelee Blog yangu bonyeza hapa.Mzizi Mkavu Unaweza kuelimika na jambo fulani Maishani mwako.......
 
sasa naweza kuiamini tiba hii, niliwahi kuambiwa na mzee mmoja kijijini nikiadharau ila sasa nimeiamini.
 
nimesoma artcles nyingi kabla ya kufanya haya maamuzi, nkakuta ni kweli inaisaidia.....

wiki mbili zilizopita niliumwa sana na jino, huku ughaibuni lazima uwe na appointment sio unajiendea tu, lakini walinichukuwa kama emergence ..jino lilikuwa na inflammation ... yule doctor akanipiga ganzi 3 ... akafanya root canal akanipiga na xray ... akaziba...

akanambia ... x ray inaonesha jino la mbele nalo soon linakuwa kama hili , ila nenda home likiuma njoo ...pia nakupa appointment mbili... 7 may na tarehe 12 may ..... akanambia hadi matibabu namaliza it will cost me 570$ hiyo ni more than 1milion TZ shillings....

nkaondoka nafuraha maumivu sina nafanya kazi kama kawaida ..... alhamis bana yakaanza tena maumivu..... upande uleule sehemu ileile,....

bahati nzuri napita JF usiku alhamis nkakutana na hii thread... nkaingia online kufanya kuangalia kama hii kitu ipo na ina exist nkakuta ipo....

well ijumaa saa kumi alfajir nkaamka nkajaribu ..... nilijishauri sana harufu ilikera sana... ila amini usiamini mchana nilishinda fresh maumivu 90% yaliondoka....

leo naandika hapa ... jino natafunia ... hakuna maumivu... sihisi chochote.....

nime save 500$ ........

testimonials nyingi nilizosoma ni wazee! watu wana umri mkubwa... basi wangukuwa washakufa na infection

pia ni kusukutua tu! wala si kuunywa mkojo..
 
Nikweli hata mimi nilisha tumia sana husaidia lakini kuna tatizo la kurudia tena baada ya muda. unatakiwa pia waone madentisti watakushauri zaidi. Mimi mwisho nitatumia Aloe bright toothgel imesaidi mpaka sasa haijurudii tena.
 
Mimi mbona nilitumia mwaka 2011 kusukutuwa Mdomoni Mkojo wangu mwenyewe mpaka leo huu ni mwaka 4 sijaumwa tena na meno usipofanya siku 3 utakuwa umeharibu dozi yake kamili. mkuu Mr II
 
Last edited by a moderator:
Mimi mbona nilitumia mwaka 2011 kusukutuwa Mdomoni Mkojo wangu mwenyewe mpaka leo huu ni mwaka 4 sijaumwa tena na meno usipofanya siku 3 utakuwa umeharibu dozi yake kamili. mkuu Mr II

lakin mkuu si najisi hii? iweje uweke najisi kwenye kinywa? nahitaji ufafanuz tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Duh sikuwahi sikia hii maishani mwangu lakn Mkojo ni uchafu na ni najisi anyway kama ni dawa kheri
 
Nikweli hata mimi nilisha tumia sana husaidia lakini kuna tatizo la kurudia tena baada ya muda. unatakiwa pia waone madentisti watakushauri zaidi. Mimi mwisho nitatumia Aloe bright toothgel imesaidi mpaka sasa haijurudii tena.

sasa naweza kuiamini tiba hii, niliwahi kuambiwa na mzee mmoja kijijini nikiadharau ila sasa nimeiamini.

Kaka MziziMkavu ningefurahi sana kama ungenisaidia sawa nyingine kwani hiyo niliitumia kwa mda wa siku 14, na kwa mjibu wa maelezo yako nilipaswa kutumia siku 7 tuu

Aisee kweli jf ni kitovu cha elimu
 
Last edited by a moderator:
lakin mkuu si najisi hii? iweje uweke najisi kwenye kinywa? nahitaji ufafanuz tafadhali
Najisi Kidini Kiutibabu ni Dawa kazi kwako Mkuu Marnah; Tupo kwenye Jukwaa la Jf Doctor hatuko kwenye Jukwaa la kuelimishana Mambo ya Dini Samahani sana Usilete Mambo ya Dini hapa.
 
Last edited by a moderator:

Last edited by a moderator:

.............Sijawahi kutoa jino, mwezi uliopita nikaanza kuumwa jino. Nimeenda kwa dentist leo kufanya check up.

Nikachukuliwa xray na kuambiwa jino lipo infected, nimepewa antibiotic na some pain killer.

Nina appointment ya kufanyiwa root canal 2 weeks from today, ambayo itacost mafedha mengi sana.

Naperuzi JF nakutana na good news za mkojo, je kwa mimi ambaye jino lipo infected tayari tiba ya mkojo itanifaa?

Cc mzizimkavu
 
........nina shost wangu kaniambia na mafuta ya karafuu nayo dawa ya meno.
Je MziziMkavu unajua kwamba clover oil ni dawa ya meno pia kama yanauma?
 
mimi niliambiwa hivohivo na nilikuwa nasubiri rootcanal + filling ... sasa nipo 100% i will my next two appointments au nitakwenda kuzipeleka mbele until December.. just incase ... but otherwise nipo poa now ...
 
Unaweza kusukutuwa mkojo wako waAsubuhi bibie Pretty jaribu kufanya hivyo kwa muda wa siku 3 kisha uje unipe feedback

........nina shost wangu kaniambia na mafuta ya karafuu nayo dawa ya meno.
Je MziziMkavu unajua kwamba clover oil ni dawa ya meno pia kama yanauma?
Sio tu Mafuta ya karafuu hata karafuu zenyewe ni Dawa ya jino.
 
Last edited by a moderator:
aisee hii sikuwahu kuijua,, MziziMkavu mechanisim ya mkojo kutibu meno ikoje? mana mi pia meno yananisumbua sana, nishang'oa moja matatu nimeziba ila yana uwaz mdogo mdogo unaopitishaga vyakula na kusababisha maumivu
Tafadhali.
 
Mkuu Amkaasaubuhı kabla ya kunywa au kula kitu nenda chooni kisha ukinge mkojo wako kıpımo cha nusu glasi kisha utie mdomoni usukutuwe kwa muda wa dakika 5 kısha uteme mkojo wako kisha kaa kwa mudawa dakika 30 unaweza hapo kupiga mswaki na kunywa chai fanya hivyo kwa muda wa siku 3 kisha uje unipe feedback
 
jinsi ya kutumia nilishaelewa ila ningependa kujua jinsi ya ufanyaji kazi wa hiyo tiba,,yani ule mkojo unayafanyaje meno mpk yanakuwa imara na kupona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…