Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Mar 28, 2015 #81 Mwamba028 said: jinsi ya kutumia nilishaelewa ila ningependa kujua jinsi ya ufanyaji kazi wa hiyo tiba,,yani ule mkojo unayafanyaje meno mpk yanakuwa imara na kupona? Click to expand... Tembelea hapa kujuwa faida zamkojo wako una kitu gani ndani yake.Urine: Your Own Perfect Medicine - All-Natural
Mwamba028 said: jinsi ya kutumia nilishaelewa ila ningependa kujua jinsi ya ufanyaji kazi wa hiyo tiba,,yani ule mkojo unayafanyaje meno mpk yanakuwa imara na kupona? Click to expand... Tembelea hapa kujuwa faida zamkojo wako una kitu gani ndani yake.Urine: Your Own Perfect Medicine - All-Natural
Pretty JF-Expert Member Joined Mar 19, 2009 Posts 2,577 Reaction score 565 Mar 28, 2015 #82 MziziMkavu said: Unaweza kusukutuwa mkojo wako waAsubuhi bibie Pretty jaribu kufanya hivyo kwa muda wa siku 3 kisha uje unipe feedback Sio tu Mafuta ya karafuu hata karafuu zenyewe ni Dawa ya jino. Click to expand... ..........Nimejaribu mafuta ya karafuu, nimeweka kwenye jino tokea juzi haliumi tena. Ngoja nisikilizie hii clove oil, kabla ya sijaenda kwenye pee.
MziziMkavu said: Unaweza kusukutuwa mkojo wako waAsubuhi bibie Pretty jaribu kufanya hivyo kwa muda wa siku 3 kisha uje unipe feedback Sio tu Mafuta ya karafuu hata karafuu zenyewe ni Dawa ya jino. Click to expand... ..........Nimejaribu mafuta ya karafuu, nimeweka kwenye jino tokea juzi haliumi tena. Ngoja nisikilizie hii clove oil, kabla ya sijaenda kwenye pee.
M Mpole mimi JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 315 Reaction score 104 Mar 28, 2015 #83 Uliza_Bei said: Hii hatari, mkojo ni kama mavi au jasho....ni uchafu unaotoka mwilini. Ushauri wangu ni kuwa unaweza kujidanganya umetibu meno ukaishia kupata tatizo kubwa mbeleni Click to expand... We nae" fata maelekezoo...
Uliza_Bei said: Hii hatari, mkojo ni kama mavi au jasho....ni uchafu unaotoka mwilini. Ushauri wangu ni kuwa unaweza kujidanganya umetibu meno ukaishia kupata tatizo kubwa mbeleni Click to expand... We nae" fata maelekezoo...
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Mar 28, 2015 #84 Pretty said: ..........Nimejaribu mafuta ya karafuu, nimeweka kwenye jino tokea juzi haliumi tena. Ngoja nisikilizie hii clove oil, kabla ya sijaenda kwenye pee. Click to expand... Hongera sana kwa kunipa feedback.
Pretty said: ..........Nimejaribu mafuta ya karafuu, nimeweka kwenye jino tokea juzi haliumi tena. Ngoja nisikilizie hii clove oil, kabla ya sijaenda kwenye pee. Click to expand... Hongera sana kwa kunipa feedback.