Yanga achani uhuni, nyie ni Club kubwa kama mnavyojiita sasa kama mchezaji hataki kucheza na nyie kwa nini muamue kumkomoa.
Angalieni Duniani mbona Man U waliamua kuachana na Ronaldo kwa mutual aggrements - makubaliano bila kuthiri pande zote mbili.
Mwiteni kijana kaeni naye myamalize, je mlimwita akagoma kuja mezani? - Wachezaji wanaojielewa watakuwa wanagoma kujiunga na ninyi.
Acheni mambo ya kitoto, mnatuboa sasa.
Cristiano Ronaldo and ManU part ways: The story behind the divide
www.businessinsider.in