joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mbona mpaka sasa haja ondoka.lakini kuna wajinga wanaomuunga mkono wengine Wana masters, au elimu haijawasaidia kitu? Wewe sikiliza baadhi ya hoja eti kisa analipwa mil4 sheria zinamruhusu kuondoka.
Una ambiwa jamaa ni platinum member [emoji3061][emoji3061]We mbwiga zamani nilikuona zimo zimo hivi. Lakini kadiri muda unavyoendelea ushabiki wako unafanana kabisa na ushabiki wa mtoto asiejua chochote. Swala la Fei umelishupalia. Mwanzoni ulikomaa na lugha ya mama Fei kula chumvi na ugali. Hata hukujiuliza kikomavu kwamba mtu ana mshahara wa milioni 4. Anatembelea Harrier,bado ule chumvi na ugali?. Ushabiki wako ni upofu.
Bora hata ingekuwa chumvi na ugali angalau unaweza kuwa na collabo, wale tuliotekea kwenye msoto tunajua unaweza kuchuka chumvi ukakoroga na maji ukaweka na pilipili ukala zako ugali. Sasa mama anakwambia mwanae alikuwa anakula ugali na sukari. Ugali na sukari una match vipi?We mbwiga zamani nilikuona zimo zimo hivi. Lakini kadiri muda unavyoendelea ushabiki wako unafanana kabisa na ushabiki wa mtoto asiejua chochote. Swala la Fei umelishupalia. Mwanzoni ulikomaa na lugha ya mama Fei kula chumvi na ugali. Hata hukujiuliza kikomavu kwamba mtu ana mshahara wa milioni 4. Anatembelea Harrier,bado ule chumvi na ugali?. Ushabiki wako ni upofu.
Uto nyinyi kumnyanyasa mtu ndio furaha yenu. Mlimfungia ndani Kambole kama mzimu itakuwa Fei mliyemlisha ugali mkimpa na ugali mdogo pembeni kama tundaYapi ya kusikitisha. We mtu wa hovyo sana. Unabeba juu juu issues na kuzitolea conclusion
Kwamba mimi ndiyo nimeandika hiyo barua?We mbwiga zamani nilikuona zimo zimo hivi. Lakini kadiri muda unavyoendelea ushabiki wako unafanana kabisa na ushabiki wa mtoto asiejua chochote. Swala la Fei umelishupalia. Mwanzoni ulikomaa na lugha ya mama Fei kula chumvi na ugali. Hata hukujiuliza kikomavu kwamba mtu ana mshahara wa milioni 4. Anatembelea Harrier,bado ule chumvi na ugali?. Ushabiki wako ni upofu.
Hii ni empty set kabisaUto nyinyi kumnyanyasa mtu ndio furaha yenu. Mlimfungia ndani Kambole kama mzimu itakuwa Fei mliyemlisha ugali mkimpa na ugali mdogo pembeni kama tunda
Sasa mnamganda wa niniWewe Chama Baleke hata hili utabadilisha kama la mwanzo...
Halafu tuna kina Farid who is Fei toto?
Ngoja aendelee kuzurula hapo TFFSasa mnamganda wa nini
Tulimtuma akubali mkataba na Yanga? Kinachomfunga ni mkataba hapo. Akae kwa kutulia, asome vifungu vya mkataba wake.Sasa mnamganda wa nini
Imagine hawa mikia ndio wanauchungu nae kuliko sisi tuliesota nae enzi za kuchangishana! bahati mbaya nae hana akili za kushituka.Tulimtuma akubali mkataba na Yanga? Kinachomfunga ni mkataba hapo. Akae kwa kutulia, asome vifungu vya mkataba wake.
Yanga wanamfanyia utu sana sababu wamemlea na wanamjali.Mwanzoni mwa huu mgogoro Mwenyekiti wa kamati ya Haki na Hadhi za wachezaji alisema, Wakati wanasikiliza shauri Kwa mara ya kwanza Mawakili wa Yanga walitaka mchezaji aileze kamati Sababu ya Kuvunja mkataba.
Afafanue manyanyaso aliyokua akifanyiwa na Yanga labda yanaweza kuwa na mantiki.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti, Mawakili wa Feitoto walikataa Fei Toto kueleza mbele ya shauri ilo Sababu za Kuvunja mkataba ila kikao kielewe mchezaji hajaridhika na mazingira ya kazi yake.
Kamati ikawaeleza Mawakili wa Feitoto basi baada ya hoja za pandembili kusikilizwa, Watamuita Fei Toto chemba na kumsikiliza ila maelezo atakayo yatoa hayata tumika kama kielelezo Cha kesi.
Mawakili wa pande zote wakakubaliana na hoja iyo.
Kamati ilimsikiliza na Mwishowe wakatoa maamuzi Waliyo yatoa.
Kwasasa Feitoto Hana hoja mpya ya Msingi na Kamati ndio ileile na majibu yatakua ndio yaleyale kwakua hoja za Kuvunja mkataba ndio zilezile.
Kama anaona anaonewa aende CAS akutane na maamuzi ya kibabe na ya kushurutishwa kuliko Aya ya Tff.
Wanamuwekea kaugali kadogo eti afanye kama tunda π€£π€£Mmelisha ugali na Sukari kweli Yanga ni ya hovyooo sana!!Ugali na sukari amekuwa nyoka kwanini hamkumpa ugali na chumvi angalau sijapenda kabisa!! π
π π
Ndugu wewe ni mgeni wa hii nchi? Unataka aitweje ili ujue ameitwa? Mwambieni aache kiburi kwanza.Yanga achani uhuni, nyie ni Club kubwa kama mnavyojiita sasa kama mchezaji hataki kucheza na nyie kwa nini muamue kumkomoa.
Angalieni Duniani mbona Man U waliamua kuachana na Ronaldo kwa mutual aggrements - makubaliano bila kuthiri pande zote mbili.
Mwiteni kijana kaeni naye myamalize, je mlimwita akagoma kuja mezani? - Wachezaji wanaojielewa watakuwa wanagoma kujiunga na ninyi.
Acheni mambo ya kitoto, mnatuboa sasa.
Cristiano Ronaldo and ManU part ways: The story behind the divide | Business Insider India
Cristiano Ronaldo and ManU part ways: The story behind the dividewww.businessinsider.in
Image ya Yanga inapwaya kwa kufuata sheria na taratibu za soka?Mkuu haya mambo yanavyozidi kusambaa Image ya Yanga huku nje inapwaya kuliko ya Fei, narudia tena Club kubwa kama Yanga ni kuachana na hili jambo haraka - Yanga ni bland na kuzidi kuwa kwenye media kila siku kwa shutuma kama hizi si jambo nzuri.
Kwa sakata hili Yanga inapoteza zaidi kuliko Fei nakuhakikishia.
Hata mimi hii barua nimeangalia mara mbili mbili, ina mapungufu mengi hata mtoto wa darasa la saba hawezi andika barua mbaya kama hii. Kama kweli hii barua ni yake basi tatizo ni kubwa kuliko tunavyo fikiri.Nina waswasi na hii barua kuwa siyo yake