Fei Toto kukata rufaa rasmi CAS aomba mchango wa pesa kwa Watanzania

Fei Toto kukata rufaa rasmi CAS aomba mchango wa pesa kwa Watanzania

Sasa huyu anataka kutuchanganya wana Yanga! Sisi tuko busy tunaongeza makombe yeye tena anataka kwenda mahakamani? Si asubiri tuchukue ubingwa kwanza wa Confederation cup? Wee Fey,tuache kwanza ‘tafazali’!! Wenye roho ngumu watasema “hata hapa tulipofika tumefika bila wewe”
😀😀
 
Nipe bank account number sasa hivi nifanye swift
Tuma hapa screen shot ya malipo
20230525_190856.jpg
 
Sasa huyu anataka kutuchanganya wana Yanga! Sisi tuko busy tunaongeza makombe yeye tena anataka kwenda mahakamani? Si asubiri tuchukue ubingwa kwanza wa Confederation cup? Wee Fey,tuache kwanza ‘tafazali’!! Wenye roho ngumu watasema “hata hapa tulipofika tumefika bila wewe”
😀😀
Nikawaida yake na genge lake kutengeneza sinema, mpaka Sasa tupo final
 
Sasa cas Hadi waje kupanga terehe ya kusikiliza shauri , waje kupanga siku ya kutoa hukumu, c mwaka kabisa ataendelea kukaa nje . Na hapo cas watakachokifanya ni ku review maamuzi ya TFF akuna kitakachobadilika yanga waamue tu kumuonea huruma Sasa ni vema wamwache tu tugange yajayo ni mtanzania mwenzetu anapotea
 
Mimi nachokielewa hapo ni kwamba inatengenezwa backup ili siku ikifika muda wa kuanza kuulizana pesa ya kwenda CAS umeipata wapi tayari awe na hoja kupitia post hii.

Ila naamini kabisa kuwa Feisali hategemei pesa za michango ili aende CAS
Yeah anakwepa, maana mwanzo alipoenda kuvunja mkataba wengi walihoji amepata wapi hela kama si mkono wa mtu...... saizi amebadili gia angani
 
Back
Top Bottom