Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mi ni miongoni mwa mawakili tuliojitolea kufanya kazi bure.Nikawaida yake na genge lake kutengeneza sinema, mpaka Sasa tupo final
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ni miongoni mwa mawakili tuliojitolea kufanya kazi bure.Nikawaida yake na genge lake kutengeneza sinema, mpaka Sasa tupo final
Hiyo sasa ndio inaonesha kuwa kuna timu au tajiri ambaye yupo nyuma yakeYeah anakwepa, maana mwanzo alipoenda kuvunja mkataba wengi walihoji amepata wapi hela kama si mkono wa mtu...... saizi amebadili gia angani
Anataka eti kuipoteza Yanga isishughulike na mchezo wa fainali ! Atajijua mwenyewe sasa hivi wala Yanga haimuhitaji tena.Dogo anaomba achangiwe aende kas
My take zile milion 100 zimeisha?
Je sisi wenye mshahara chini ya milion 4 tutamchangia vipi? Maana aliyekimbia mshahara kuzidi wetu!!;
Je Fatima Karume &co hawana pesa za kumkopesha ashinde kesi aje awalipe?
Duh Huyu dogo anatia huruma Sana
Kwahiyo tumtigopesa[emoji1][emoji1][emoji1]
Tatizo movie yake kwenye scripts mwanzo alichemka, kailipa Yanga 100m,kaenda Dubai kwa trainer anaye watrain wachezaji wa ulaya kakaa zaidi ya wiki, kashimamisha wanasheria wakubwa watatu leo anaomba kuchangiwa.WATANZANIA NAOMBA MNICHANGIE - FEISAL
Kupitia mtandao wa instagram mchezaji wa Yanga Feisal Salum amepost akiomba wapenda soka Nchini kumchangia ili apate fedha zakufungua kesi Mahakama ya kimichezo CAS dhidi ya klabu yake ya Yanga
Kiasi kinachohitajika ni zaiai ya milioni 55View attachment 2634537
Kwanini waachane nayo? Yeye ni nani hadi akiuke matakwa y mkataba wake? Pacta sunta servandaYanga ni Taasisi ila wangeachana na hii ishu ya Faisal wamwambie aendelee na maisha yake amekosea ila sio kipindi cha kukomoana dogo alikosea na hajui kuwa kakosea waachane nae kuliko hizo mambo zinakokwenda...
Kachemka kwani ile 100m tayari Yanga wanayo risiti ya malipo na hapo ndipo watakapo mbana.Mimi nachokielewa hapo ni kwamba inatengenezwa backup ili siku ikifika muda wa kuanza kuulizana pesa ya kwenda CAS umeipata wapi tayari awe na hoja kupitia post hii.
Ila naamini kabisa kuwa Feisali hategemei pesa za michango ili aende CAS
Alipokuwa analipwa mshahara wa milioni nne kwa mwezi alikuwa anakula ugali na sukari. Saivi mshahara anatumiwa anaukataa, je maisha yake anaishi vipi kama hakuna watu nyuma yake?Mimi nachokielewa hapo ni kwamba inatengenezwa backup ili siku ikifika muda wa kuanza kuulizana pesa ya kwenda CAS umeipata wapi tayari awe na hoja kupitia post hii.
Ila naamini kabisa kuwa Feisali hategemei pesa za michango ili aende CAS
Hakuna Cha bure saizi mkuu 😀...........kwani we ni me au ke maana mawakili wote ni KeMi ni miongoni mwa mawakili tuliojitolea kufanya kazi bure.
Waliomtaka wameona ni gunia la misumari wamerudi nyuma kidogoAlipokuwa analipwa mshahara wa milioni nne kwa mwezi alikuwa anakula ugali na sukari. Saivi mshahara anatumiwa anaukataa, je maisha yake anaishi vipi kama hakuna watu nyuma yake?
Na kwenda CAS ni haki yake hakuna mtu anaweza kumuhoji kapataje ela za kwendea huko kwasababu hata sasa hakuna mtu aliyefatilia kujua anayekula ugali na sukari anapataje milioni 300 ku deposit kwenye account ya Yanga.
Mtu anayeishi kwa ugali na sukari kipindi analipwa mshahara wa milioni nne je leo hii anaikataa milioni nne atakuwa na hali gani au anaishije. Ila yeye mwenyewe tu kajistukia
Nayeye atawaonesha risiti ya alipoenda kuikopea ile helaKachemka kwani ile 100m tayari Yanga wanayo risiti ya malipo na hapo ndipo watakapo mbana.
Alitaka kutengeneza igizo ila scripts kachemka.
Okay tunamsubiri sisi.Nayeye atawaonesha risiti ya alipoenda kuikopea ile hela