Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Chizi kapotea dampo...Wacha waje! Kichaa chako kitaisha
Leo KMKM ya nchi ya Zanzibar ilikuwa inacheza na timu ya Al Ahli Tripoli kwenye Mashindano sawa na Simba na Yanga. Kimantiki Zanzibar ina hadhi sawa na TFF kwenye mashindano haya ya CAF na uanachama wa CAF.
KMKM inashiriki Ligi ya mabingwa kutokana na Ligi inayoendeshwa na TFF? TFF na ZFA ni vyama viwili tofauti vya mpira na ligi zao ziko tofauti na vilabu tofauti na kanuni za kuziendesha ligi hizo ni tofauti.Namimi naomba kuongezea kwa kukuuliza je lini uliona timu ya taifa ya Zanzibar ikishiriki michuano ya Afcon? kwanini tusianzie na timu ya taifa stars ambayo inachezesha raia wa kigeni kwenye michuano ya Afcon?
Nilikuwa sijui kama ametokea ligi ya Zanzibar mwanachama wa CAF.Ni lile goli la pale CCM Kirumba au ni hizi Holi mbili alizoifunga Azam ndio zimekufanya uanzishe huu Uzi?
Nimekuuliza swali kama Zanzibar ni mwanachama kamili wa CAF kwanini timu ya taifa haushiriki michuano ya Afcon wala kombe la dunia?KMKM inashiriki Ligi ya mabingwa kutokana na Ligi inayoendeshwa na TFF? TFF na ZFA ni vyama viwili tofauti vya mpira na ligi zao ziko tofauti na vilabu tofauti na kanuni za kuziendesha ligi hizo ni tofauti.
Sina uelewa na timu za taifa. Ila kwa vilabu mchezaji ni lazima anapotoka Ligi ya nchi moja kwenda nchi nyingine ni lazima afanyiwe uhamisho wa kimataifa.Nimekuuliza swali kama Zanzibar ni mwanachama kamili wa CAF kwanini timu ya taifa haushiriki michuano ya Afcon wala kombe la dunia?
Na kwanini Feitoto awepo kwenye timu ya taifa ya Tanzania ambapo timu hiyo huwa ipo chini ya TFF?
Punguza stressSina uelewa na timu za taifa. Ila kwa vilabu mchezaji ni lazima anapotoka Ligi ya nchi moja kwenda nchi nyingine ni lazima afanyiwe uhamisho wa kimataifa.
Hivi Zanzibar hawana timu ya Taifa na huwa inashiriki mashindano gani? Nilishawahi kuona Timu ya Zanzibar inacheza na timu ya Tanganyika. Ikicheza Tanganyika na Zanzibar Fei toto anaweza kucheza Tanganyika?
Aisee!! Hii nayo kumbe ni Kero??Nilijua migogoro na kero za Muungano zipo kwenye siasa tu, kumbe Hadi kwenye soka?
Tozo zote hizi halafu nisiwe na Streess. Sina undugu na mchunga Ng'ombe bwana.
Ungeanza kwanza kwa kuwa na uelewa mpana juu ya hali ya uanachama wa Zanzibar katika shirikisho la soka Africa ndipo ungekuja na hii mada. Sasa tunajadili nini wakati hujui hata kwanini Zanzibar timu yao ya taifa haishiriki kombe la dunia wala AFCON. Unashindwa kwanini Feitoto huyo huyo yupo kwenye timu ya taifa inayosimamiwa na TFF badala ya ZFASina uelewa na timu za taifa. Ila kwa vilabu mchezaji ni lazima anapotoka Ligi ya nchi moja kwenda nchi nyingine ni lazima afanyiwe uhamisho wa kimataifa.
Hivi Zanzibar hawana timu ya Taifa na huwa inashiriki mashindano gani? Nilishawahi kuona Timu ya Zanzibar inacheza na timu ya Tanganyika. Ikicheza Tanganyika na Zanzibar Fei toto anaweza kucheza Tanganyika?
Huyu huenda akawa bin kazumari, eti umakoloni anategenewa na ni mbeba maono wao.Feisal Salum Mchezaji wa Yanga leo nimegundua kumbe alikuwa anacheza kwenye Ligi ya Nchi ya Zanzibar ambayo pia ni mwanachama wa CAF. Kwa mujibu wa Kanuni za CAF mchezaji anapotoka Ligi ya nchi moja kwenda ligi ya nchi nyingine, hutakiwa kuwa na uhamisho wa Kamataifa kwa mchezaji kama huyo.
Jee Yanga ilimhamisha Feisal Salum kimataifa na kuijulisha CAF kwamba mchezaji huyo alikuwa anacheza kwenye Ligi ya nchi za Zanzibar?
Aisee!! Hii nayo kumbe ni Kero??
Zanzibar wana ligi yao na Tanganyika wana ligi yao. Ligi ya kule mwiko kudhaminiwa na makampuni ya pombe huku kwetu TBL ilishawahi kuwa mdhamini mkuu wa Ligi ya Tanganyika. Kwa ivo Yanga ilifuata Kanuni?
Nilikuelewa ilikuwa namna ya kuchagiza tu. Ni KERO na watu wanataka ionekane ni sawa. Ligi ziko mbili na zinasimamiwa na vyama viwili vya mpira. Mgao unaoliliwa ni wa FIFA siyo CAF.Sijajua unatafsiri vipi keto, nilimaanisha baadhi ya mambo yenye utata kuhusu Muungano nilijua yanapigiwa kelele tu, kumbe hata kwenye soka napo Kuna sintofaham?
Kila kitu kungekua sawa, huu uzi usingekuwepo