Feisal achana na magenge ya wahuni utapotezwa kwenye ramani ya soka, rudi njia kuu

Feisal achana na magenge ya wahuni utapotezwa kwenye ramani ya soka, rudi njia kuu

Subiri trh9 ndiyo uongee hayo ya kushindwa kesi
Kamati ishatoa uamuzi wake tiyali, iyo trh 9 ni kutoa ufafanuzi tu wa kile kilichonekana mpaka kufikia maamuzi ivyo usijidanganye kuwa kuna maamuzi mengine tofauti, kama umeielewa statment imesema Feisal ni mchezaji halali wa yanga kwa mujibu wa mkataba wake'' kama kungekuwa na walakini kwenye mkataba statment iyo isingehalalisha mkataba wake na yanga, Ama statment ingehalalisha uvunjwaji wa mkataba husika, Kiufupi mjadala umefungwa
 
umwjawa na ushabiki wa kitoto
Utoto upi? Unafikiri nje ya box mkuu.

Maisha magumu haya unayoyaona Tz ni kwa sababu ya kazi zenye maslahi duni.

Nikiwa kama msomi wa nchi hii siwezi kushabikia ugomvi wa mikataba ya kipuuzi kama huu wa Feisal (never)

Mnaacha kuyazungumzia yanayowaumiza watu mnakaa kujadili nje ya box? Acheni utoto huo. Kazi ni haki na maslahi ni haki. Sio kwa wanamichezo pekee bali ni kwa wafanyakazi wote . Tuwe na mikataba yenye Tija.


OVER
 
Utoto upi? Unafikiri nje ya box mkuu.

Maisha magumu haya unayoyaona Tz ni kwa sababu ya kazi zenye maslahi duni.

Nikiwa kama msomi wa nchi hii siwezi kushabikia ugomvi wa mikataba ya kipuuzi kama huu wa Feisal (never)

Mnaacha kuyazungumzia yanayowaumiza watu mnakaa kujadili nje ya box? Acheni utoto huo. Kazi ni haki na maslahi ni haki. Sio kwa wanamichezo pekee bali ni kwa wafanyakazi wote . Tuwe na mikataba yenye Tija.


OVER
Ayo yote mngemshauri wakati anasaini mkataba wake kwa sasa hivi aitasaidia chochote aidha autumikie mkataba wake mpaka mwisho ama timu inayomtaka iende mezani iambiwe dau lake aondoke kiroho safi na sio kuondoka kihuni kama anavyotaka yeye na wanaomshawishi
 
Uhuni gani? Kuvunja mkataba ni uhuni?
Nimekuwa mfuatiliaji na member wa JF kwa muda mrefu lakini moderator halitendei Hali ya kuruhusu mpaka vichaa waliogubikwa na upenzi tu bila kutumia akili.Wanaropoka tu.Huko kwenye siasa ndiyo mbaya zaidi.Mello rudisha heshima ya JamiiForum. It
 
Kwa akili tu ya kawaida hii kesi ya Feisal ilikuwa wazi sana ata kwa mtu asiyejua sheria na miongozo ya Fifa kwenye mikataba ya wachezaji angeweza kuiamua bila shida.

Ni kichekesho sana unaingia mkataba kulipwa shingi 100 na unasaini mkataba alafu baada ya muda unamuona mwenzako analipwa shingi 300 unaruka kuvunja mkataba ukitaka na wewe ulipwe kama mwenzako[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pasipo kufata utaratibu wowote ule ni ajabu sana, Mwajiri wako uwezi kumlazimisha akuongeze malipo kienyeji wakati mkataba uliosaini unakubana, Apo unatakiwa ujilaumu wewe na yule anayekusimamia kipindi mnakubaliana masuala ya malipo, Yule anaelipwa shingi 300 alisimamiwa vyema kwenye maslai yake ndio maana analipwa iyo 300 tofauti na wewe.

Kilichotakiwa ni kuomba mwajiri kama anaweza mkae kuuboresha mkataba husika na sio kumlazimisha kufanya ivyo kwakuwa yeye ndiye aliyeshika mpini na wewe umeshika makali, Sasa kijana feisal aliingia mkenge akakutana na genge la wahuni wanataka wamdake kwa gharama ndogo na yeye bila kufikiria akaingia chaka, Kamati imeamua vyema kwa maana iyo Yanga ndiye atakaeamua imuuze ama laah.

Timu zinazomtaka ziende mezani kwa yanga watajiwe dau lake biashara ifanyike na sio kufanya mambo ya kihuni kihuni kama ayo, Ingekuwa ivyo mpira usingechezeka ingekuwa kila mchezaji anavunja mkataba anavyoweza anasepa anakokujua
Umeongea kila kitu. Point zote umemwaga hapa. Lakini yakija mapopoma ya mo hayatataka kabisa kuusikia huu ukweli. Ngoja tuyasubiri
 
Si aliwalipa maboss wake kiasi kinachotajwa ktk kipengele cha kuvunja mkataba wakakirudisha?

Angekuwa anaomba kuondoka bila malipo mngemsumbua sana lkn ametekeleza masharti ya mkataba wake.

Muacheni aondoke hana expectations yoyote na taasisi yenu.
Walikaa mezani wakakubaliana alipe hiyo Hela?
 
Dogo kazingua kinoma, hapo inatakiwa awaombe tu msamaha Yanga yaishe
Vinginevyo ataharibu kiwango chake
 
Nimemdharau sana huyu dogo. Kadanganywa ki*eng* kweli. Sijui ndio tayari kaivuruga Yanga bila yeye?. Hajui soka lilivyo ni tofauti kabisa na siasa. Asahau kuja kurudi tena kwenye form yake
 
Utopolo wana roho mbaya sana mbona kwenye Dili la singano na yondani yaliisha kimya kimya tu licha ya yanga kufanya umafia AZAM wamewapa sure boy bure ila nyinyi kumuachia feisal imekuwa nongwa kelele kila kona
 
Back
Top Bottom