Feisal achana na magenge ya wahuni utapotezwa kwenye ramani ya soka, rudi njia kuu

Utopolo wana roho mbaya sana mbona kwenye Dili la singano na yondani yaliisha kimya kimya tu licha ya yanga kufanya umafia AZAM wamewapa sure boy bure ila nyinyi kumuachia feisal imekuwa nongwa kelele kila kona
 
Uhuni gani? Kuvunja mkataba ni uhuni?
Alichokifanya fifa walishapiga marufuku, hivi ww kwa mfano yanga waende wamshwishi phiri alafu wampe pesa za kuvunjia mkataba alafu phiri asifuate utaratib unaona tu kaweka hizo pesa kwenye account ya simba!!

Hivi unafikiria Alichokifanya fei ni ni sahihi ? Kama ndo hivo mpira usingechezeka duniani wenye pesa wangekuwa wanafanya tu hivo kirahis kupata wachezaji bora kupitia pesa zao. Fifa waligundua hili na ndomana walikataza.. nchi ina watu wajinga mno na ww ni miongoni mwao
 
Dogo kazingua kinoma, hapo inatakiwa awaombe tu msamaha Yanga yaishe
Vinginevyo ataharibu kiwango chake
Yaani asipo omba radhi kiwango kitaharibika [emoji28][emoji28]
 
Utopolo wana roho mbaya sana mbona kwenye Dili la singano na yondani yaliisha kimya kimya tu licha ya yanga kufanya umafia AZAM wamewapa sure boy bure ila nyinyi kumuachia feisal imekuwa nongwa kelele kila kona
Acha ujinga wewe Azam ipi iliwapa yanga sure boy bure? Yanga walipeleka ofa ya kumsajili sure boy akiwa amebakiza mkataba wa miezi 6 Azam wakakataa mpaka yanga ikasubili amalize mkataba wake imchukue bure baada ya kutajiwa bei kubwa kuwakomoa, Sasa mnalia lia nini? Kama wanazo pesa si waende wakatijiwe dau lake mbona wanajificha ficha kufanya mambo kihuni kihuni
 
Eti genge la wahuni🤣
 
Kukosa elimu na usimamizi mzuri ndio matokeo yanayomuathiri Feisal. Wengine MNA lakujifunza hapa.
 
Haijui kwamba ,Pacta Sunda servanda.Kama mambo yangekuwa mepesi kama alivyodhani Feisal basi mikataba isingekuwa na maana.
 
Utopolo wana roho mbaya sana mbona kwenye Dili la singano na yondani yaliisha kimya kimya tu licha ya yanga kufanya umafia AZAM wamewapa sure boy bure ila nyinyi kumuachia feisal imekuwa nongwa kelele kila kona
Feisal angeweza enda timu nyingine na Bado hata sasa anaweza ends timu nyingine,ila kwenda kihuni na kuwadharirisha,Yanga ndo hawataki,na sidhani kama Yanga Kwa sasa wanamhitaji tena Feisal
 
Eti genge la wahuni🤣
Magenge ya wahuni yaliyompotosha feisal ni mengi ndugu yangu, kuanzia wachambuzi uchwala, Wahandishi wa habari makanjanja, Timu zilizojificha mgongoni kwa feisal zilizompa pesa mil 112 akalipe ili avunje mkataba wake kienyeji, Na mawakili wa mchongo ambao waliona kabisa awezi kutoboa kwa kesi ya namna ile lakini wakaendelea kumpa matumaini kuwa yuko sahihi ili wazipige pesa zake, leo hii wanakuja na hadithi eti feisal hana mahaba tena na yanga kwaiyo kamati imekosea kumrudisha yanga!! Kwani kamati inaangalia mahaba ya mchezaji au inaangalia sheria na mkataba wake?
 
Dogo atapotea hivi hivi kwa sababu tu ya tamaa na ukosefu wa elimu. Anatakiwa afuate tu utaratibu. Hana namma nyingine.
 
Utopolo wana roho mbaya sana mbona kwenye Dili la singano na yondani yaliisha kimya kimya tu licha ya yanga kufanya umafia AZAM wamewapa sure boy bure ila nyinyi kumuachia feisal imekuwa nongwa kelele kila kona
Sureboy mkataba na Azam ulikwisha wala Yanga hawakupewa bure, Fei na timu inayomuhitaji wafuate utaratibu
 
YANGA walichomfanyia FEI TOTO kina athari kubwa sana ndani ya kambi ya YANGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…