Anajifanyaga kila kitu anajua na kila kitu anaushahidi nacho yaani yule jamaa ni moja ya wajinga walio kwenye media sijui nani kawaweka pale.Kuna mchambuzi anaitwa jemedari saidi aisee huyu jamaa ni hasara kwa familia yake
Kwanini wasiziamini kama kesi ya Manara na Hersi imekaliwa mpaka leo haijatolewa maamuzi!Kumbe kuna muda kamati za TFF zinahaminiwa na Wanayanga
😂😂😂😂Alichokifanya fifa walishapiga marufuku, hivi ww kwa mfano yanga waende wamshwishi phiri alafu wampe pesa za kuvunjia mkataba alafu phiri asifuate utaratib unaona tu kaweka hizo pesa kwenye account ya simba!!
Hivi unafikiria Alichokifanya fei ni ni sahihi ? Kama ndo hivo mpira usingechezeka duniani wenye pesa wangekuwa wanafanya tu hivo kirahis kupata wachezaji bora kupitia pesa zao. Fifa waligundua hili na ndomana walikataza.. nchi ina watu wajinga mno na ww ni miongoni mwao
Huwezi kuendelea maana huu uzi ni mchungu kwa makoloNimeanza kukusoma tu mpaka pale unapodai hata mtu asiyejua sheria anaweza kuiamua hii kesi, nikajua kumbe huwa nawaelekeza mapoyoyo wasiojua chochote, nikaishia hapo.
umekula kande mbichi,pole.Kwa akili tu ya kawaida hii kesi ya Feisal ilikuwa wazi sana ata kwa mtu asiyejua sheria na miongozo ya Fifa kwenye mikataba ya wachezaji angeweza kuiamua bila shida.
Ni kichekesho sana unaingia mkataba kulipwa shingi 100 na unasaini mkataba alafu baada ya muda unamuona mwenzako analipwa shingi 300 unaruka kuvunja mkataba ukitaka na wewe ulipwe kama mwenzako[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pasipo kufata utaratibu wowote ule ni ajabu sana, Mwajiri wako uwezi kumlazimisha akuongeze malipo kienyeji wakati mkataba uliosaini unakubana, Apo unatakiwa ujilaumu wewe na yule anayekusimamia kipindi mnakubaliana masuala ya malipo, Yule anaelipwa shingi 300 alisimamiwa vyema kwenye maslai yake ndio maana analipwa iyo 300 tofauti na wewe.
Kilichotakiwa ni kuomba mwajiri kama anaweza mkae kuuboresha mkataba husika na sio kumlazimisha kufanya ivyo kwakuwa yeye ndiye aliyeshika mpini na wewe umeshika makali, Sasa kijana feisal aliingia mkenge akakutana na genge la wahuni wanataka wamdake kwa gharama ndogo na yeye bila kufikiria akaingia chaka, Kamati imeamua vyema kwa maana iyo Yanga ndiye atakaeamua imuuze ama laah.
Timu zinazomtaka ziende mezani kwa yanga watajiwe dau lake biashara ifanyike na sio kufanya mambo ya kihuni kihuni kama ayo, Ingekuwa ivyo mpira usingechezeka ingekuwa kila mchezaji anavunja mkataba anavyoweza anasepa anakokujua
Anafikiri Kuvunja mkataba ni sawa na Kuvunja yai!!!Unafikiri Kuna maamuzi mengine?
kipi kina kusukuma leo hii uwe na uchungu na familia ya feisal au ni unafiki tu.Weka Aya mkuu ,mbona upo speed sana?
Fei ana wazazi na ndugu zake wanamtegemea.
dah,yan achomoke kihuniKwaiyo wakimtegemea ndio asifate utaratibu?
umekula maharage ya wapi wewe?Si aliwalipa maboss wake kiasi kinachotajwa ktk kipengele cha kuvunja mkataba wakakirudisha?
Angekuwa anaomba kuondoka bila malipo mngemsumbua sana lkn ametekeleza masharti ya mkataba wake.
Muacheni aondoke hana expectations yoyote na taasisi yenu.
Na wanaomtaka akili kisoda kwanini wasiende ofisini kwa yanga wakapangiwa bei.Dogo mwenyewe akili kisoda,,,anafanya mambo kama hajielewi...Pathetic
Hakuna mbwa kubwa jinga kama hili domokaya, ujuaji mwingiiiii.Kuna mchambuzi anaitwa jemedari saidi aisee huyu jamaa ni hasara kwa familia yake
Umeelewa lakini sababu ya kusema "anafanya mambo kama hajielewi".Na wanaotaka akili kisoda kwanini wasiende ofisini kwa yanga wakapangiwa bei.