Feisal penalty/fidia ya kutokutumikia mkataba inamsubiria

Unafikiri hapo mwanzo walipoambiwa hawakufuata taratibu unajua ni zipi ?
 
Unafikiri hapo mwanzo walipoambiwa hawakufuata taratibu unajua ni zipi ?
Wewe shida yako na feisal aende bure yanga isipate chochote
Yanga ina haki lazima akomae apate pesa ya huyo mchezaji
Unajua yanga wamewekeza sh ngapi kwa huyo feisal Hadi kumtambulisha
Gharama za makocha
Matibabu
Gym
Kambi
Lazima aje na timu inayo muhitaji ndani ya mkataba auzwe
Na yanga Ione inarejesha vipi gharama zake
Acheni makelele Mambo sio rahisi ivo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Badala ya kujibu hoja unakuja na hisia
 



Mfano Yanga wanamtaka Chama basi wamwambie ingia mitini halafu ukiwa mitini nenda TFF uwambie wavunje mkataba wake na Simba sababu Chama haipendi Simba. Chama anailipa Simba kwa kununua mkataba halafu TFF wavunje mkataba wake aende atakapo ambapo ni Yanga kirahis hivyo. Ni wenye akili tu ndiyo watakao nielewa.Sijui kipindi kile wanapewa Uwakili Law School haikuwepo ?
 
Ndo uhuni anaotaka kufanya azam alafu watu na akili zao timamu wana-support
 
Hicho kikenge kinatafutq followers tu instagram, kwahiyo kanafanya drama for as long as kinaweza, anajua hawezi shinda, ila the longer the drama, the better
 
Ila we jamaa una ushabiki wa hovyo.
Moses Caicedo
Kylian Mbape
Jude Bellingham
Umewahi sikia scenario zao ,maana unaandika utafikiri unaishi pekee Ako pangoni
 
Yaani huyu jamaa akili zote kaweka pembeni ,mihemko na ushabiki ndio vinamuongoza
 
Bro naona kama una uelewa. Ila ngoja nikuulize, umepitia sheria za FIFA za kuvunja mkataba? Mimi sio mwanasheria, ila naona ni vitu very basic kuelewa. Umeona vitu vimeanishwa kama "just cause", je vinaendana na Feisall? Umepitia Article 16 inayosema "a contract cannot be unilaterally terminated during the course of a season."?

 
Kuendelea kulipwa na hafanyi kazi haoni kama ni mtego
 
Mkataba hauvunjwi kiwenyeji. Dogo han'gang'aniwi ila afate makubaliano na Sheria zile. Anarudi yanga na anawekwa benchi mana hakuna mtu wa kumpa nafas ya kucheza pale timu ile imekamilika.
 
We lazima unione mbishi, kwasababu huna uelewa wa vitu navyoviandika.

Endelea kuvuta picha maana ndio kitu pekee unachoweza kufanya ukafanikiwa lakini kwenye maswala ya law we ni brightest kama crystals
Okay si uende ukasimamie hio kesi ya nini kupiga kelele mitandaoni wakati mwenzenu anaonewa?
 
Yaaani wewe jamaa akili yako ni ngumu sana kuelewa mpaka nawaonea huruma walimu wako.hivi andiko umesoma mpaka mwisho kweli?
 
Chaajabu umekopi hiyo post hata hujui kilichozungumzwa
 
Ila we jamaa una ushabiki wa hovyo.
Moses Caicedo
Kylian Mbape
Jude Bellingham
Umewahi sikia scenario zao ,maana unaandika utafikiri unaishi pekee Ako pangoni
Hao uliowataja ndio wali terminate contract without cause?
 
Sasa wewe ndio tunaweza kufanya mjadala maana wengine wote wameshindwa kuja na hoja kama hizi.

Najibu swali lako sasa.

Ni kweli hiyo article 16 imezungumzia unilaterally termination, lakini vipi tukienda article 17 inayofuata ambayo haihitaji cause?

Mkataba huwa una room nyingi hivyo kila mtu huamua kuchagua kutumia kipengele gani ambacho yeye kwake ataona kinamfaa.

Tukiamgalia article 17 inatoa ruhusa kuvunja mkataba without cause na mifano ya wanasoka waliowahi kuvunja mikataba kina Hakan Calhanoglu ipo.
 
Mkataba hauvunjwi kiwenyeji. Dogo han'gang'aniwi ila afate makubaliano na Sheria zile. Anarudi yanga na anawekwa benchi mana hakuna mtu wa kumpa nafas ya kucheza pale timu ile imekamilika.
Unaposema Mkataba hauvunjwi kienyeji References yako inakuwa ni nini?
 
Okay si uende ukasimamie hio kesi ya nini kupiga kelele mitandaoni wakati mwenzenu anaonewa?
Umeweza kujitofautisha na mwenzako ambaye analeta challenge kwa kupoint vifungu vya sheria?

Maana yake wewe unayebisha bila references unakuwa huna tofauti na waumini wa Pastor Mackenzie
 
Chaajabu umekopi hiyo post hata hujui kilichozungumzwa
Ukihitaji tafsiri naweza kukupa, maana itabidi nianze kuamini pengine ni lugha ndio inayowapa ugumu hapo

Kwasababu kama umesoma na kuelewa huwezi kundelea kuja na hoja za kishamba sijui mkataba hauvunjwi kienyeji mara mpaka mkae mezani nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…