Feisal salamu anawatumia mabumunda WA SIMBA SC na YANGA SC kujiongezea thamani

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Azam FC wanachofanya ni kiburi cha pesa ambacho hakina tija yoyote kwao.

Tangu usajiri wa Feisal ufanyike, Azam FC imeendelea kua msindikizaji Katika mashindano ya ndani na hata Yale ya kimataifa. Huku feitoto akinufaika pakubwa kimaslahi .

Kutokana na ubumunda wa viongozi wa Azam FC kwenye masuala ya SOKA kambi ya Feisal anaendelea kuyatumia mabumunda mengine Simba SC na YANGA SC kama kete ya kuongeza thamani ya mchezaji wao hivyo kuwafanya mabumunda ya Azam kuendelea kumuongezea pesa lukuki kijana wa kizanzibari.
 
Kwa hiyo unamwonea wivu?
Hupendi mchezaji mzawa kulipwa pesa nyingi?
 
Azam FC wanachofanya ni kiburi cha pesa ambacho hakina tija yoyote kwao.

Tangu usajiri wa Feisal ufanyike, Azam FC imeendelea kua msindikizaji Katika mashindano ya ndani na hata Yale ya kimataifa. Huku feitoto akinufaika pakubwa kimaslahi .

Kutokana na ubumunda wa viongozi wa Azam FC kwenye masuala ya SOKA kambi ya Feisal anaendelea kuyatumia mabumunda mengine Simba SC na YANGA SC kama kete ya kuongeza thamani ya mchezaji wao hivyo kuwafanya mabumunda ya Azam kuendelea kumuongezea pesa lukuki kijana wa kizanzibari.
Hoja yako hapa ni nini hasaa!? Kwamba hupendi anachofanya Feisal!? Au hupendi ubumunda wa viongozi Wa Simba na Yanga!? Au hupendi wanachofanya viongozi wa Azam!?
 
Iko wazi nasifia anachokifanya Feisal na kambi yake
 
Fei alifanya maamuzi ya kimaslahi mno kuondoka Yanga. Aendelee kukuza thamani yake azikusanye maana siku itafika hakuna timu itamtaka sababu either ya kiwango, injury au uzee.
 
Back
Top Bottom