mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Kwani nimesema nateseka?Mbona unateseka kwani pesa ni yako?Mpira wa sasa ni ajira na maslahi mbele. Kama kambi yake inajua kucheza na akili za viongozi ili apate mega deal, hiyo ni akili kubwa.
Nini maana ya neno bumunda?Kwani nimesema nateseka?
Kwa hiyo unamwonea wivu?Azam FC wanachofanya ni kiburi cha pesa ambacho hakina tija yoyote kwao.
Tangu usajiri wa Feisal ufanyike, Azam FC imeendelea kua msindikizaji Katika mashindano ya ndani na hata Yale ya kimataifa. Huku feitoto akinufaika pakubwa kimaslahi .
Kutokana na ubumunda wa viongozi wa Azam FC kwenye masuala ya SOKA kambi ya Feisal anaendelea kuyatumia mabumunda mengine Simba SC na YANGA SC kama kete ya kuongeza thamani ya mchezaji wao hivyo kuwafanya mabumunda ya Azam kuendelea kumuongezea pesa lukuki kijana wa kizanzibari.
Hoja yako hapa ni nini hasaa!? Kwamba hupendi anachofanya Feisal!? Au hupendi ubumunda wa viongozi Wa Simba na Yanga!? Au hupendi wanachofanya viongozi wa Azam!?Azam FC wanachofanya ni kiburi cha pesa ambacho hakina tija yoyote kwao.
Tangu usajiri wa Feisal ufanyike, Azam FC imeendelea kua msindikizaji Katika mashindano ya ndani na hata Yale ya kimataifa. Huku feitoto akinufaika pakubwa kimaslahi .
Kutokana na ubumunda wa viongozi wa Azam FC kwenye masuala ya SOKA kambi ya Feisal anaendelea kuyatumia mabumunda mengine Simba SC na YANGA SC kama kete ya kuongeza thamani ya mchezaji wao hivyo kuwafanya mabumunda ya Azam kuendelea kumuongezea pesa lukuki kijana wa kizanzibari.
Iko wazi nasifia anachokifanya Feisal na kambi yakeHoja yako hapa ni nini hasaa!? Kwamba hupendi anachofanya Feisal!? Au hupendi ubumunda wa viongozi Wa Simba na Yanga!? Au hupendi wanachofanya viongozi wa Azam!?
Siyo lazima useme. Maneno yako yanaashiria unaumia kuona Fei Toto anavyowaumiza waajiri wake wakati wa msimu wa usajili.Kwani nimesema nateseka?
Acha kunilisha maneno mkuuSiyo lazima useme. Maneno yako yanaashiria unaumia kuona Fei Toto anavyowaumiza waajiri wake wakati wa msimu wa usajili.